Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Hawa wagumu kuelewa unajisumbua Kama ni kosa si waende mahakamani ,sasa wanalialia nyuma ya keyboard hapa
Wanapiga kelele lakini waulize terms and conditions na privacy policy walizisoma wakati wanalalamikia? nawaekea hapa ya mtandao wa tigo
 
Mkuu kwa uzalendo upi? Wa kutoka watu na kunyima watu haki zao?
Makubwa aliyoyafanya anastahili kuitwa Mzalendo wa kweli...alinifurahisha alivyotuongoza katika mapambano na COVID 19.

Wabunge wa upinzani waliondoka bungeni kwenda kujifungia mahotelini huku wakihimiza wananchi wawekewe Lockdown sasa sijui wangekula nini jamani?


October 28th jura za ndio ni kwa Mzalendo wetu Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Halafu ushabiki wako maandazi ni wewe, ctaki kutumiwa message ya mwanasiasa yoyote na sina upumbavu wa vyama Mimi kwani ndio wanaonilisha, tumiweni nyie makada wa wanasiasa, mie upumbavu wa wanasiasa kutafta ugali wao unanihusu nini sasa. Ka ujue wengine hatu mind wanasiasa hata kuwaona tu kichefu chefu.
Kabla ya kutumia line ya simu, ningekuona mwerevu kama ungesoma Terms and conditions na privacy policy. Sio unakuja hapa unalia lia kitu kisa upumba.vu wako mwenyewe.

Haya soma hii screenshot uache ujinga;

Capture.PNG
 
Huko ni kuingilia uhuru wa watumiaji wa simu, wanajua kabisa wateja wao watakuwa na itikadi tofauti kwanini watume meseji za kumpigia kampeni mgombea wa CCM?

Kuna wajinga watasema ni haki yao kwasababu CCM wamelipia, watambue CCM wamewalipa hao wenye makampuni ya simu hawajawalipa watumiaji, haya mambo ya kujipendekeza kwa CCM yakome, wanastahili kushtakiwa.
CDM au Chadema nao waende wakaombe kwa wenye mitandao
 
Kabla ya kutumia line ya simu, ningekuona mwerevu kama ungesoma Terms and conditions na privacy policy. Sio unakuja hapa unalia lia kitu kisa upumba.vu wako mwenyewe.

Haya soma hii screenshot uache ujinga;

View attachment 1603781
Wewe ndio uache ujinga, Nani kakwambia sijui hzo ndio maana Sheria nazo hubadilika maana hupitwa na wakati, Toka lini Mambo ya wanasiasa ikawa advertisement. Mfyuuu
 
Kabla ya kutumia line ya simu, ningekuona mwerevu kama ungesoma Terms and conditions na privacy policy. Sio unakuja hapa unalia lia kitu kisa upumba.vu wako mwenyewe.

Haya soma hii screenshot uache ujinga;

View attachment 1603781
Ndio nauliza nna kampuni yangu naweza kwenda tigo niwalipe wanirushie matangazo kwa sms kwa wateja wao woootee?
Na kama ni yes, si ingekua fujo kwenye simu zetu zina jam kwa matangazo lukuki.
 
Wewe ndio uache ujinga, Nani kakwambia sijui hzo ndio maana Sheria nazo hubadilika maana hupitwa na wakati, Toka lini Mambo ya wanasiasa ikawa advertisement. Mfyuuu
Ahahahahahaha! ama kweli wajinga hawaishi duniani..... Advertisement, maana yake ni Tangazo, haijaalishi category ya tangazo, wazungu wanaita campaign ads!

Aibu kabisa eti tangu lini mambo ya wanasiasa yakawa matangazo? Yale mabango ya barabarani ya wagombea sio matangazo? AU wewe unafikiri tangazo liwe la kunywa soda tu?
 
Ndio nauliza nna kampuni yangu naweza kwenda tigo niwalipe wanirushie matangazo kwa sms kwa wateja wao woootee?
Na kama ni yes, si ingekua fujo kwenye simu zetu zina jam kwa matangazo lukuki.
Nenda ofisi zao, hizo huduma zipo. Wewe watakwambia tu bei, sasa kama unaweza kulipia sio tatizo wao kutuma kwa kila mtu. Suala la kuwa fujo au si fujo wao haliwahusu, wakati unanunua line yao kuna maelezo wengi hatusomi mwisho wa siku tunakuta wajinga kama huyo bidada mmoja anakuja kulalamika!
 
CCM mwaka 2020 walidhani watatumia miradi ya flyover SGR ujenzi wa bwawa la umeme ununuzi wa Ndege miradi ya kifisadi miradi yenye 10% za wajanja wachache, miradi isiyoguswa na CAG, watanzania wenye Akili timamu hawawezi kushabikia CCM inayofanya mambo ya hovyo na kugeuza miradi ya umma kwa pesa za walipa kodi kuonekana ni Hisani za CCM, utazani CCM wanachukua pesa zao binafsi tokea mfukoni mwa polepole na Bashiru na mtukufu magufuli.
Hao watanzania wenye akili wako wapi? si hao mnaosema wanaenda kwenye mikutano ya ccm kwa ajiri ya kuona wasanii tu? sasa hao watu wana akili kweli?

Wanapigwa na jua kwenye mkutano wa ccm ili tu amuone Diamond,hivi kweli kipindi hiki ni kuwa na ushamba wa wasanii?
 
Wale walionyeshewa siku ile walilipwa. Mjini hapa
Ina maana umma wote ule ulikuwa umelipwa? maana bora ingekuwa mvua wakati inanyesha wengine waliondoka na hao waliyobaki kunyeshewa ndio tuseme walifanya hivyo kwa sababu walilipwa.
 
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe sana
Sasa kama ni hivyo kwanini 2015 ilitumika nguvu kubwa ya hadi kumchukua Lowassa na kuunganisha vyama? ina maana ilifanyika hivyo ili kukabiliana na hivyo vyombo?
 
41 Reactions
Reply
Back
Top Bottom