Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Mimi sijawahi kutumiwa before why now, kwanza kwanini utoe taarifa zangu kwa wanasiasa ndio concern yangu, pia taarifa nyingine ili utumiwe lazima ujiunge kwa ridhaa bila ku force I wonder why unatetea utopolo
Unaona ulivyo mjinga sasa? Sasa ulitaka utumiwe meseji ya kampeni 2017? Rudia kusoma post zangu za nyuma utaona nilivofupisha haya mambo huwa yanafanywaje. Tatizo lako wewe ni mtumwa wa siasa tu ndio mana unabweka kijinga, zingekuwa za chama chako pendwa ungeufyata kimya.
 
Wewe na wewe usinichoshe zero iq nilitaka nitumiwe message ya nini yako mchawi
 
sasa kama mtu amenunua mandege, fly over, treni ya mwendokasi kama "uraya" mbona bado hajiamini?? anahangaika nn si asubiri tu ushindi wa kishindo hiyo tarehe 28/10?!?!.
2015 wapinzani walimchukua Lowassa na wakaunganisha vyama ili kupambana na ccm,ina maana ndio tuseme walifanya yote hayo kwa kuwa hawakuwa wakijiamini?
 
mwengine nae huyo asieelewa. Wewe kama umeona ni kosa, nenda kashtaki mahakamani, ili mahakama iamue kama ni kosa au la. Shida ya nini kwani?
Hawa wagumu kuelewa unajisumbua Kama ni kosa si waende mahakamani ,sasa wanalialia nyuma ya keyboard hapa
 
Ngoja uchaguzi uishe hapo mwezi wa kuanzia kumi na moja atasema hapangiwi na yoyote, Ila akirudi abadilike na yeye sio watu wamekubwa na janga badala awape pole anasema hakuleta tetemeko, watu wanavunjiwa nyumba Yuko kimya vile hawakumpigia kura. I hope next term atabadilika awe ana sympathize na Raia wake.
Wa kubadilika huko ccm sio jpm, baada ya uchaguzi huu atakanyaga watu hatari.Neno haki halitakuwa na maana tena awamu ya pili ya jpm akishinda.
 
Unaona ulivyo mjinga sasa? Sasa ulitaka utumiwe meseji ya kampeni 2017? Rudia kusoma post zangu za nyuma utaona nilivofupisha haya mambo huwa yanafanywaje. Tatizo lako wewe ni mtumwa wa siasa tu ndio mana unabweka kijinga, zingekuwa za chama chako pendwa ungeufyata kimya.
Halafu ushabiki wako maandazi ni wewe, ctaki kutumiwa message ya mwanasiasa yoyote na sina upumbavu wa vyama Mimi kwani ndio wanaonilisha, tumiweni nyie makada wa wanasiasa, mie upumbavu wa wanasiasa kutafta ugali wao unanihusu nini sasa. Ka ujue wengine hatu mind wanasiasa hata kuwaona tu kichefu chefu.
 
Binafsi nilipigiwa simu na mdada aliyejitambulisha kuwa ni Wakala wa CHADEMA wiki iliyopita akawa anaomba niwapigie kura wagombea wa chadema. Nikabaki nashangaa tu hawa watu wa mitandao wakoje?
Bahati mbaya kuwa sitapiga kura mwaka huu.
 
Hawatendi haki kwa wateja kwa kweli
 
Wazee wakulia lia kama mitoto ya Ndege
Shida nini Wengine mnajidanganya eti Tuka shtaki wapi hahahaha
Nendeni si mmekosa Kazi
MAGUFULI MITANO TENA
Ubongo wa mende bna, miaka 58 na chama chenu chakavu miaka mitano hii siasa mmefanya peke enu bado tu mnatusumbua na visms ovyoo kabisa.
 
41 Reactions
Reply
Back
Top Bottom