Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Hili jambo ameniambia wife leo yeye ametumiwa tena limesomeka jina ambalo si lake.

Nikajisemea ole wao wanitumie msg kama hizi. Kwanza ni usumbufu na kutukosea adabu, hivi inakuwaje wanadhani ya kuwa kila mtu ni mpiga kura ? Sisi wengine tunakuwa na vitambulisho vya kupiga kura kuepuka usumbufu tu katika harakati zetu.
 
Bila shaka mjinga itakuwa ni weye, mana sijakwambia kuwa wamefanya sawa ama la kwa kukutumia meseji, nilichojaribu kuzungumza hapa ni kuonesha kuwa hizo meseji kabla ya CCM makampuni mengine yalikuwa yakituma pia bila ridhaa ya mteja.

Sasa katafute mtu akutoe ujinga ili next time uwe unaelewa nini kimezungumzwa.
Kwahiyo makampuni mengine yakifanya kosa na hayo makampuni ya simu nao wanaruhusiwa kufanya kosa hilo hilo?
 
Kazi nzuri sana October 28th kura za ndio ni kwa JPM.

Tujitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura October 28th na niwasihi tumpigie Mzalendo JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ndio ivo kaka, hakuna namna hapo labda uache kutumia mtandao wao..
Usikubali kudhulimiwa haki yako kirahisi hivyo. Hapo nimeonesha kwenye hizo T & C's za Voda wenyewe wanasema watatoa taarifa zako kwa wabia wao pale watakapopata idhini toka kwa mteja wao, sasa mbona wanatoa hizo taarifa za wateja kwa CCM bila kupata idhini toka kwa wateja wao?
 
Usikubali kudhulimiwa haki yako kirahisi hivyo. Hapo nimeonesha kwenye hizo T & C's za Voda wenyewe wanasema watatoa taarifa zako kwa wabia wao pale watakapopata idhini toka kwa mteja wao, sasa mbona wanatoa hizo taarifa za wateja kwa CCM bila kupata idhini toka kwa wateja wao?
Subiri 2060,tundu lissu akiwa lais ndio utapewa hiyo haki ,hizi ni zama za chama kubwa CCM DUME#
 
Kwa sasa amekua mpole sana, miaka mitano katunyanyasa...Huyu kumpa kura basi tu
Ngoja uchaguzi uishe hapo mwezi wa kuanzia kumi na moja atasema hapangiwi na yoyote, Ila akirudi abadilike na yeye sio watu wamekubwa na janga badala awape pole anasema hakuleta tetemeko, watu wanavunjiwa nyumba Yuko kimya vile hawakumpigia kura. I hope next term atabadilika awe ana sympathize na Raia wake.
 
Back
Top Bottom