Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
2,403
2,000
Ndio ivo kaka, hakuna namna hapo labda uache kutumia mtandao wao..
Usikubali kudhulimiwa haki yako kirahisi hivyo. Hapo nimeonesha kwenye hizo T & C's za Voda wenyewe wanasema watatoa taarifa zako kwa wabia wao pale watakapopata idhini toka kwa mteja wao, sasa mbona wanatoa hizo taarifa za wateja kwa CCM bila kupata idhini toka kwa wateja wao?
 
service

JF-Expert Member
May 22, 2014
2,954
2,000
Nyumbu ni CCM kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM hata kifikira miccm yote huishi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM na polepole, hakuna CCM anaruhusiwa kufikiri binafsi bila kutumia fikra za mtukufu mwenyekiti wa CCM
Tutashinda ,kwa kishindo sana
 
service

JF-Expert Member
May 22, 2014
2,954
2,000
Usikubali kudhulimiwa haki yako kirahisi hivyo. Hapo nimeonesha kwenye hizo T & C's za Voda wenyewe wanasema watatoa taarifa zako kwa wabia wao pale watakapopata idhini toka kwa mteja wao, sasa mbona wanatoa hizo taarifa za wateja kwa CCM bila kupata idhini toka kwa wateja wao?
Subiri 2060,tundu lissu akiwa lais ndio utapewa hiyo haki ,hizi ni zama za chama kubwa CCM DUME#
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
12,716
2,000
Kwa sasa amekua mpole sana, miaka mitano katunyanyasa...Huyu kumpa kura basi tu
Ngoja uchaguzi uishe hapo mwezi wa kuanzia kumi na moja atasema hapangiwi na yoyote, Ila akirudi abadilike na yeye sio watu wamekubwa na janga badala awape pole anasema hakuleta tetemeko, watu wanavunjiwa nyumba Yuko kimya vile hawakumpigia kura. I hope next term atabadilika awe ana sympathize na Raia wake.
 
chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
7,414
2,000
Mimi sijawahi kutumiwa before why now, kwanza kwanini utoe taarifa zangu kwa wanasiasa ndio concern yangu, pia taarifa nyingine ili utumiwe lazima ujiunge kwa ridhaa bila ku force I wonder why unatetea utopolo
Unaona ulivyo mjinga sasa? Sasa ulitaka utumiwe meseji ya kampeni 2017? Rudia kusoma post zangu za nyuma utaona nilivofupisha haya mambo huwa yanafanywaje. Tatizo lako wewe ni mtumwa wa siasa tu ndio mana unabweka kijinga, zingekuwa za chama chako pendwa ungeufyata kimya.
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
12,716
2,000
Unaona ulivyo mjinga sasa? Sasa ulitaka utumiwe meseji ya kampeni 2017? Rudia kusoma post zangu za nyuma utaona nilivofupisha haya mambo huwa yanafanywaje. Tatizo lako wewe ni mtumwa wa siasa tu ndio mana unabweka kijinga, zingekuwa za chama chako pendwa ungeufyata kimya.
Wewe na wewe usinichoshe zero iq nilitaka nitumiwe message ya nini yako mchawi
 
Tz mbongo

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
7,375
2,000
sasa kama mtu amenunua mandege, fly over, treni ya mwendokasi kama "uraya" mbona bado hajiamini?? anahangaika nn si asubiri tu ushindi wa kishindo hiyo tarehe 28/10?!?!.
2015 wapinzani walimchukua Lowassa na wakaunganisha vyama ili kupambana na ccm,ina maana ndio tuseme walifanya yote hayo kwa kuwa hawakuwa wakijiamini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom