Tcra na digital radio

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Wajameni hivi lile tangazo la tcra kuhusu mwisho wa matumizi ya analog radio na kwamba radio zote ziwe za digital system ni lini mwisho wa kutumia hizo analog?
Nakumbuka kusikia TCRA wakitoa tangazo kwamba mwisho wa kutumia hii analog ni mwaka fulani, na kwamba digital system tu ndiyo zitakuwa zikitumika. Je nani anakumbuka ni mwaka gani?
 
ANGALIA KATIKA TOVUTI YAO TCRA|Tanzania Communications Regulatory Authority PIA UNAWEZA KUWAANDIKIA MASWALI WATAKUJIBU AU TEMBELEA MWENYEWE MAWASILIANO HOUSE PALE AGHAKHAN
Shy nimeangalia kwenye ile tovuti yao TCRA|Tanzania Communications Regulatory Authority wala hakuna kitu.
Wazo la kuwaandikia labda linaweza kufanya kazi.
Lakini kwa kuwa niko nje ya Tz siwezi kufika katika jengo lao. Nilihisi kwa kuwa jf ni uwanja mpana naweza kupata msaada hapa hapa.
 
Sawa kabisa hakuna tatizo na hilo ukishindwa kupata majibu kabla ya jumatatu nijulishe nitapita pale katika pilika pilika zangu nikupatie jibu la uhakika
 
Mwisho wa analog radio Tz ni 2015.Wasiliana nao watakujibu.Kuna wakati nilikuwa nawauliza vitu walikuwa wakijibu mapema tofauti na ofisi nyingi za bongo
 
Wajameni hivi lile tangazo la tcra kuhusu mwisho wa matumizi ya analog radio na kwamba radio zote ziwe za digital system ni lini mwisho wa kutumia hizo analog?
Nakumbuka kusikia TCRA wakitoa tangazo kwamba mwisho wa kutumia hii analog ni mwaka fulani, na kwamba digital system tu ndiyo zitakuwa zikitumika. Je nani anakumbuka ni mwaka gani?

Follow this link below you will see the press release from TCRA about the switchover to digital broadcasting.

[media]http://www.tcra.go.tz/press/digitalBroadcasting.pdf[/media]
 
Back
Top Bottom