VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,611
- 13,160
TCRA na BOT wekeni viwango elekezi. Watu kada ya chini waliowengi wanaumia sana. Mfano mtu kutoa 10,000 garama makato 1,450 Tzs, sawa na 14.5%!!! Wao kumiliki software pekee!???? Ilihali Mtumaji kaweka pesa!! Vodaa wanaongoza kwa ulanguzi huu kwa wanyonge, achilia mbali huduma zao za ujanja ujanja eti tafu,songesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app