PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,172
Napenda Kutoa Yangu ya Moyoni Juu ya Kitendo cha Kingamuzi cha Contnental Decorder Kuzima Mpaka Chanel za Ndani. Ambazo kwa Maelekezo ya TCRA ni Lazima Kila Kingamuzi Kiliagizwa Station 5 za Ndani ziwe Bure kwenye Kila Kingamuzi.
Lakini Hawa Jamaa wa Contnental kwa Sasa Wameingia Kwenye Huduma ya Malipo, na Kinyume na Taratibu Wamefunga Mpaka Station 5 Ambazo kwa Maelekezo ya TCRA waliagizwa Makampuni Yote Kuhakikisha Hizo Station Zinakuwa Free.
Sasa Najiuliza, Hawa Watu wa Sahara Media, Wapo Juu ya Sheria?