RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,431
Hii mitandao ya simu si Vodacom si Tigo. Airtel yaani ukipiga simu utadhani kuna mtu ameshika nyanya inakwaruza hata simu ikiwa inaanza kuita tu.
TCRA mliwapiga faini kipindi kile hawajawaelewa au ni dharau tu. Yaani Imekuwa kawaida mtu kusema sikusikii hebu piga tena, Simu inakwaruza.
TCRA mliwapiga faini kipindi kile hawajawaelewa au ni dharau tu. Yaani Imekuwa kawaida mtu kusema sikusikii hebu piga tena, Simu inakwaruza.