Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,621
- 30,582
Hawa vodacom na Tigo tunapoelekea watatuuzia MB 100 kwa Tshs 1000
Maana toka majuzi wamepunguza tena bando za Internet ,sasa hivi unapata MB 70 kwa Tshs 500 na MB 200 kwa Tshs 1000,huku siku 3 kabla ilikuwa MB130 kwa Tshs 500 tofauti ya MB 50 na MB 350 Kwa Tshs 1000 tofauti ya MB 150.
tukumbuke Miezi 3 iliyopita Tshs 500 ulikuwa unapata MB 350 na Tshs 1000 tulikuwa tunapata MB 650.
dah kwa kweli hii ni zaidi ya mabadiliko ya kiuchumi!........TCRA sijui hawapo!