TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

Yani ukweli mimi mwenyewe nimeshindwa kuwaelewa kabisa kipengele kile kinamaana gani! emu tulijadili kwa kina ni sawa mtu kununua uongozi???? hafai kabisa kuwa kiongozi tena wa ngazi kama urais wa nchi hii.
 
Acha meneno yako unaonekana siasa umeanza jana na acha ushabiki usiokuwa na maana unaonekana huna fikra chanya ivyi ni kipi kibaya ambacho Dr. slaa ameongea ambacho akina tija na taifa acheni kulipeleka taifa letu sehemu mbaya. tutakujalaumiana baadae.
 
Mara baada ya taarifa ya habari ya saa 2 usiku Star Tv wamerusha kipande kidogo cha CCM kilicho na maneno ya Baba wa Taifa akieleza juu ya kununua uongozi huku kikiwa kimeambatana na picha za Mh. Lowassa akikabidhi bahasha kwa watu mbalimbali hususani viongozi wa dini na badae kimemalizia na picha za kampeni za CCM.

Kwa tafsiri yangu ni kama igizo fulani lenye maudhui ya Mh. Lowassa kununua uongozi, kama ni kweli kwanini wasimpeleke mahakamani ili ikathibitike huko?

Je, hii ni sawa kwa vyombo vya habari kurusha maigizo ya namna hii yenye lengo la kumchafua mtu?

Wee wa wapi hujaona ITV promo ya kipindi cha NImjuavyo Lowasa ambacho wanaohojiwa zaidi ni watu wa kanda flani ambao wanamsifu na kumpamba sana?
 
Hivi kama alikuwa anatoa fungu la kumi kama ambavyo wakristo huwa tunatoa ni kosa? Mbona hata mimi huwa natoa bahasha kwa Watumishi wa Mungu....!!!, mambo mengine sio mazuri kwa mustakabali wa nchi yetu kwa kweli
 
Wee wa wapi hujaona ITV promo ya kipindi cha NImjuavyo Lowasa ambacho wanaohojiwa zaidi ni watu wa kanda flani ambao wanamsifu na kumpamba sana?

Wewe uaongelea k2 kingine kabisa na mada
 
HII VITA NI KALI KULIKO TUNAVYODHANI. HUYU JAMAA ANA KITU NDANI YAKE AMBACHO NI KIZURI NDIO MAANA ANAPIGWA VITA KIASI HIKI. KAMPENI INAYOFANYWA NA CCM NI HATARI. ILA SIKU ZOTE MunguHUWA UPANDE WA MWENYE HAKI.

VIVA UKAWA

Aisee!Wewe sio muumini wa Gwajima kweli ?
 
Niliona hii kitu Star tv: kuna kitu hakiko sawa kabisa hapo. Itakuwa AIBU kubwa kama TCRA ama Tume ya uchaguzi haitatoa ufafanuzi. That was not fair
 
Nafikiri hayo ni matangangazo ya CCM. Wamelipia Star TV iyarushe. Kinachoshangaza ni kutoonekana kwenye TV stations nyingine hata TBC!
 
Hivi kama alikuwa anatoa fungu la kumi kama ambavyo wakristo huwa tunatoa ni kosa? Mbona hata mimi huwa natoa bahasha kwa Watumishi wa Mungu....!!!, mambo mengine sio mazuri kwa mustakabali wa nchi yetu kwa kweli
hapo wamechokoza maaskofu na masheikh
 
Hii kitu ilipofikia wanachofanya kwa ajili ya kumchafua, kinakuwa ni kinyume chake. Watu wenye kiu ya mabadiliko hawa kwa sasa unapowaletea blah blah za hivi na vile, tutakuchukia wewe na kuongeza kumpenda unayekusudia kumchafua.
 
Ni kama kunadi biashara yako kwa kutumia udhaifu wa bidhaa ya mshindani wako wazi wazi kwa kutumia bidhaa zake
 
Watanzania kura yetu na chaguo letu ni kwa Dk magufuri baaas!hatuna haja na Lowassa tena!ananuka rushwa na ufisadi
 
Mm ninachofurah ni kwamba Lowasa anazidi kuwa maarufu. Kwa style hii maaskofu ndo wataanza rasmi kumnadi Lowasa mana hizi propaganda zimeingia pabaya.
Viva Lowasa
 
hii vita ni kali kuliko tunavyodhani. Huyu jamaa ana kitu ndani yake ambacho ni kizuri ndio maana anapigwa vita kiasi hiki. Kampeni inayofanywa na ccm ni hatari. Ila siku zote munguhuwa upande wa mwenye haki.

Viva ukawa
mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe daima mkuu. Ni ukawa tu hata iweje, siasa majitaka hazijaanza leo tumefunga masikio macho mbele kwa mbele.
 
Nasemaje lowasa ,sumaye ,mbowe na gemg lako ni zaidi ya boko haramu!!!!!!!!!! Haiwezekani mtulaghai kiasi hichi, better or the devil u know than the devils u dont know....aisee
 
Nasemaje lowasa ,sumaye ,mbowe na gemg lako ni zaidi ya boko haramu!!!!!!!!!! Haiwezekani mtulaghai kiasi hichi, better or the devil u know than the devils u dont know....aisee

Hah hah haaa,!!!! zindouna, dawa imeanza kukuiingia taratiiiib kabisa. Tulia tu, itaendelea kupenyeza mpaka mishipa ya ndani kabisa! Genge la ushindi hilo.......
 
Last edited by a moderator:
Leo Dr Slaa kapasua jipu. Amesema kuwa kuna Maaskofu wamehongwa fedha na Lowasa ili wamnadi kwenye nyumba za ibada. Kuna Askofu kapata milioni 60 japo hakumtaja jina. Kipya kipi?

Na ww usiwe unameza kila unachopata, kama wamepewa hzo hela ndo wanaanza kuwatoa public hvyo? Hawajui sheria za mtuhumiwa na haki yake? wakati mwingne tuwe tunakubali mahala wanapokuwa wamekosea hata kama tunawapenda hawa watu sio busara kuonyesha wale walokuwa ktk ile picha na hzo sio siasa safi. Nchi hii bora tufanye uchagu kesho siasa ziishe wanachefua sana wanasiasa
 
Back
Top Bottom