tcra mnalionaje hili janga?

Heavy equipment

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,446
976
Tcra ni chombo cha kusimamia mawasiliano nchini yakiwemo makampuni ya simu za mikononi, wadau inakuwaje mwananchi wa kijijini akinunua kifurushi cha kuongea anakatwa pesa kwa kupewa MB za internernt wakati haziitaji? tcra hebu tusaidieni watu wakijini tusilazimishwe kununua MB za internent wakati hatujui matumizi yake.
 
pathetic way of thinking...hivi unajua maana ya neno "promotion"? kuna mtu aliyekulazimisha kujiunga na hiyo huduma au ni kiherehere tu?
 
Ebu funguka kifurushi cha kuongea ndio nini? Unatumia tiGO? Kifurushi maana yake bundle sasa ebu tuambie hizo bundle za kuongea zipo vp? Mnasema watu wa vijijini hamuoni umuhimu wa internet sasa hapa umepost kwa kutumia bundle za maongezi au internet? Umefanya research uko kwenu kwamba hawatumii internet?
 
Kwa nini unasema pathetic. Ana hoja ya msingi. MB unazilipia, kwa mtu wa kijijini hazihitaji. Waweke option ya "ofa"/promotion za mahitaji tofauti.

ni pathetic kwa kuwa ile ni kama promo tu...hakuna mtu anakulazimisha kujiunga, na ndio maana bado unaweza kuendelea kutumia simu bila kujiunga na hizo promo.
think of this, intaneti imewekwa ili kuvutia zaidi watu wenye simu zenye uwezo wa kuperuzi mtandao.
zawadi huwa haichaguliwi....
 
Nimekuelewa, asante kwa kunielimisha! sawa as long as ni promotion you are at liberty to join or not to join
 
Ndio maana kuna namba za kujiunga na hizo huduma za hivyo vifurushi! Hawakulazimishi kujiunga,hata hivyo sio kila simu imewezeshwa kwa internet,kwa misingi hiyo wale wenye simu zenye internet watanufaika na ofa hizi kama watahitaji! Wengine wataendelea kufaidi message na dakika za maongezi!
 
Back
Top Bottom