Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,459
- 4,755
Salaam wana jamiii.
Ninakerwa na hii tabia ya mitandao ya simu kukwepa kodi kwa hizi International calls.
Niko tayari kwa ushahidi nitakapohitajika.
Nina mtu anayeishi Bara Asia kila akinipigia simu huwa zinakuwa zinabadilishwa kama local calls za hapa ndani.
Na hii imedumu kwa muda mrefu.unapigiwa simu unabaki kusikiliza sauti nyie mnakwepa kodi.Kama mtahitaji nitawapa namba zinazoingia kwenye simu yangu ambazo sio ya mtu anayenipigia .Unaona local calls saa 8 usiku.
Hii tabia imenikera TCRA fuatilieni