TCRA mko wapi? Vodacom inaibia wateja.

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,053
Vodacom kupitia promoshen yao ya mega promo. Ukicheza tu hiyo bahati nasibu basi kila siku utakatwa bila ridhaa yako sh. 550.
Huu ni wizi dhahiri, kila mtu anasiku yake ya bahati, wao wanacho fanya ni kukukata tu hela
 
Hah Hah easy money bana wajinga ndio waliwao,fanya kazi kwa bidii mambo ya kusubilia promosheni achana nayo,fanya kazi kwa bidii na utafanikiwa na mafanikio hayaji kama mvua ,huenda kama ni mtoto wa mkubwa kwenye chama cha magamba.hao Vodacom hata kwenye kampuni 10 zinazolipa kodi (walipa kodi wakubwa haimo)hapa unapata picha gani na ni siri iliyowazi hadi kwa mkulu ,kamishna mkuu wa TRA ,hata mtoto wa mkulima(?)alishangaa kuona makampuni ya simu na yale ya madini hayamo kwenye orodha.Kambarage aliwahi kusema kuwa viserikali visivyokusanya kodi ni VISERIKALI vya wala rushwa
 
Vodacom kupitia promoshen yao ya mega promo. Ukicheza tu hiyo bahati nasibu basi kila siku utakatwa bila ridhaa yako sh. 550.
Huu ni wizi dhahiri, kila mtu anasiku yake ya bahati, wao wanacho fanya ni kukukata tu hela
fanya kazi bwana! acha kuishi kiujanja ujanja, usiwe kama wapiga kura wa igunga
 
Kumbe siko peke yangu!!!???
Basi kifo cha wengi harusi!!
 
Vodacom kupitia promoshen yao ya mega promo. Ukicheza tu hiyo bahati nasibu basi kila siku utakatwa bila ridhaa yako sh. 550.
Huu ni wizi dhahiri, kila mtu anasiku yake ya bahati, wao wanacho fanya ni kukukata tu hela

naona mkuu kesi ya ngedere unampelelea nyani
 
ni wezi ndiyo ila na wewe mpaka kuingia kwenye droo si ulikuwa unataka vya bure! pole sana promo za makampuni ya simu ni utata mtupu siku hizi.VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom