KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
Nimeshindwa kuwajulia hali nyumbani toka saa 11 alfajiri salio nililokuwanalo limeibiwa!!! Nimejaribu kuongeza salio limeibiwa tena nimerudia tena nimeibiwa nimechoka nimeamua kuacha pasipo kujua nyumbani wanaendeleaje.Kulikuwa na mtoto mgonjwa nimeshindwa kuelewa hali yake inaendeleaje!!!!! Kama mnahujumiana ili wateja wawakimbie wahamie mitandao mingine..........!!!!!