TCRA mko wapi jamani Airtel wanatufilisi!

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Nimeshindwa kuwajulia hali nyumbani toka saa 11 alfajiri salio nililokuwanalo limeibiwa!!! Nimejaribu kuongeza salio limeibiwa tena nimerudia tena nimeibiwa nimechoka nimeamua kuacha pasipo kujua nyumbani wanaendeleaje.Kulikuwa na mtoto mgonjwa nimeshindwa kuelewa hali yake inaendeleaje!!!!! Kama mnahujumiana ili wateja wawakimbie wahamie mitandao mingine..........!!!!!

Hamia tigo

Kuhamia tigo si ufumbuzi wa tatizo na wao ni haohao bado unakuwa umelikimbia tatizo litakufuata tuu ufumbuzi ni kulitatua tatizo sasa tunatatuaje matatizo haya ya makampuni ya mawasiliano???????

Wezi sana hawa jamaa,nilikuwa nimeweka line yao kila nikiweka salio la mia5 wanakata sh.80 na ukiwapigia c.care hawapokei simu.hamia tigo.

Hii mtandao ni uhuni mtupu kaka sio tigo ,voda,airtel amnakitu
VODA eti wanatoa ofa ya 500MB dakika 10 messenge 100 kuasia 5-12 kwa siku moja tu ofa gani izi

Nimeshindwa kuwajulia hali nyumbani toka saa 11 alfajiri salio nililokuwanalo limeibiwa!!! Nimejaribu kuongeza salio limeibiwa tena nimerudia tena nimeibiwa nimechoka nimeamua kuacha pasipo kujua nyumbani wanaendeleaje.Kulikuwa na mtoto mgonjwa nimeshindwa kuelewa hali yake inaendeleaje!!!!! Kama mnahujumiana ili wateja wawakimbie wahamie mitandao mingine..........!!!!!

Wandikie barua kaka ya malamiko wasipo kusaidia bas nenda tcra usipo pata msaada tena malizia tume ya ushindani

hamia tigo muungwana,bila ivyo utaishia kulalamika tu..alafu huu mchezo mbona haujaanza juzi!

Hao tigo ndo siwataki kabisaaaaaa line yao niliyoisajili nimeizika sasa yapata mwaka siitumii niliizika ikiwa na sh 3000.Ninafanya kazi porini kusikopatikana mtandao wa TIGO ina maana nilikuwa naitumia ninapokuja mjini cha kushangaza kwenye salio nilikuwa na sh 1000 ninapohitaji kupiga nakataliwa naambiwa akaunti yako imesitishwa ongeza salio lako kwanza kisha upige.Nikaongeza sh 1000 jumla ikawa sh 2000 nilipopiga naambiwa network busy nikaachana nayo nikatumi labda kwa siku hiyo.Kesho tena nikajaribu nikaambiwa akaunti yako imesitishwa ongeza salio kwanza kisha upige,nikaongeza nilipopiga najibiwa network busy nikaona huo ni wizi ndo nikakata shauri kuizika maana niliona haina msaada kwangu zaidi ya kunifirisi.Kwa hiyo bwana MLA MBIVU hao TIGO ni zaidi ya Airtel!!!!!!!!!!!!!!

hamia tigo mm nipo tigo tangu ikiwa mobitel,buzz,nimejisajili nimekaa mwaka huku jangwani kabla sijarejea nyumbani july mwaka huu nliacha sh 3000 nimezikuta na nimezitumia nlivofika airport sikupata tabu. kubali usikubali tigo sio wezi kama makampuni haya mengine.

Wameamua kurudisha kodi yao waliolipa, simliwasifia kuwa ndio walipaji wakubwa wa kodi

Nimeshindwa kuwajulia hali nyumbani toka saa 11 alfajiri salio nililokuwanalo limeibiwa!!! Nimejaribu kuongeza salio limeibiwa tena nimerudia tena nimeibiwa nimechoka nimeamua kuacha pasipo kujua nyumbani wanaendeleaje.Kulikuwa na mtoto mgonjwa nimeshindwa kuelewa hali yake inaendeleaje!!!!! Kama mnahujumiana ili wateja wawakimbie wahamie mitandao mingine..........!!!!!

imetokea kwangu leo. jana niliweka 5,000. nimeongea jumla shs. 700. leo asubuhi nina less than shs. 200. kuna ndugu yangu pia amelalamika. labda mitambo ni mibovu au wanafanya kwa makusudi. customer service 100 is useless.

Haya mambo yanatokea kwenye mitandao yote ya simu, sometimes ni intentionery au bahati mbaya system ina-misbehave. So try to stick where you are, atleast unakuwa na line ya mtandao mwingine kuact kama backup.

Ila tiGO wanaboa zaidi, hamia uone.

Niliwahi kulalamika hapa kwamba ukitumia line ya Airtel kumpigia mtu,na mtu huyo asipokee kabisa simu yako(sawa na ku beep) ukija kukata simu yako angalia salio. Utakuta salio limepungua. Hiyo ni moja nyingine huwa wanasema ukituma sms 5 unapewa sms 100 za bure utumie ndani ya masaa 24. Lakini ukifanya hivyo na ukianza kutuma sms zako za bure,ukituma sms 10 utapokea sms yao ikikutaarifu kwamba umetuma sms 30 za bure na salio lako la sms za bure ni...70!. Daylight robbery!

Mjini hapa,
Mtu mwenye cheo hence mshahara kidogo tu anakata Tshs 10 kwa kila kichwa X vichwa laki moja tu = Tshs 1mil kwa siku,
Kwa mwezi ana Tshs 30mil kibindoni tunaanza kupigana vikumbo mitaani.
Ana-comvert vipi salio kua cash,
akili kumkichwa!!!

Wameamua kurudisha kodi yao waliolipa, simliwasifia kuwa ndio walipaji wakubwa wa kodi

wanataka mwakan washke namba moja.

HIV TCRA WANAFANYA KAZ GAN?. Wanashndwa kusimamia kama wenzao Ewura wanavyojikongoja?

Similar Discussions

Back
Top Bottom