TCRA mkamateni Jovin Silayo ni tapeli

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Tcrl mkamateni jovin silayo anayetumia namba
0765696409

Ni tapeli sana anakupigia simu akijifanya ni mfanyakazi wa vodacom anakwambia masuala ya mpawa na mpesa Halafu anakwambia anataka kukupa bonus then anakwambia ufanye process Fulani iwapo ukifanya process hizo Jua kabisa Fedha za kwenye simu yako zinayeyuka

Kaa nae mbali ni tapeli

TCRA , Jeshi la polisi, wazee WA cyber crime kamateni tapeli huyo

Ushahidi upo niko tayari kutoa ushahidi mahakamani
 
Ni kweli aiseee!! Alishawahi nipigia mwishoni akaniuliza kwenye salio la mpesa nina shs ngapi ! Nilimwambia shs 79 huwezi amini alinikata simu bila hata kuaga
 
mkuu ume report polisi?
Police in Tanzania are never at work! Labda kama ni issue ya Patrice Lumumba.

Anyway, huyo jamaa Mimi pia kanipigia leo kwa namba hiyo hiyo. TCRA japo taarifa hizi mnazipata tunajua hamtafanya lolote.
 
`Kibaya zaidi, VodaCom wanalijua hilo swala nawamesha shitakiwa mara kadhaa!

Ninachoshindwa kuelewa ni kwanini wao "vodacom" kwakutumia mitambo yao wanajua wapi alipo na wanaona transactions zikifanyika kwa namba na jina lalamikiwa halau hawachukui hatua stahiki!?

TCRA hivi wanahusika na uvuvi au kilimo, maana suji kikweli!?
 
Kama unataka kujua TCRA au polisi wanafanya kazi yao tukana wakubwa au jihusishe na upinzani, kwenye mambo ya muhimu kama haya yanayosumbua na kuwapa kero wananchi hautawasikia...
 
Duuh haya majina ya kichaga haya hatari, unaweza ukapigwa na butwaa na kusema heeeh broo wangu amekuwa tapeli mara hii? Ni ugumu wa maisha au tabia au mob imembadilisha?

....kumbe majina yanafanana.

Sasa sipati picha mtu anapata msg tuko akisikia redioni Manka Moshi amefariki kwa ajali au Beatrice Massawe. Kuna haja ya kutumia majina manane kwa hawa chalii wa kwenda kuhesabiwa aiseeh mambo haya tutaja pandas hana presha bureee.

Back to the topic: poleni mliokumbwa na utapeli wa aina hii, ila siku za mtuhumiwa ni fupi na hatari i mbele yake ni vema akisoma hapa awache mambo hizo mara moja.

Watu saa hii wanatafuta hela kwa jasho ķweli kweli halafu ukiwatapeli wallah hawakuachi. ...

Mchana mwema nyote.
 
Tcrl mkamateni jovin silayo anayetumia namba
0765696409

Ni tapeli sana anakupigia simu akijifanya ni mfanyakazi wa vodacom anakwambia masuala ya mpawa na mpesa Halafu anakwambia anataka kukupa bonus then anakwambia ufanye process Fulani iwapo ukifanya process hizo Jua kabisa Fedha za kwenye simu yako zinayeyuka

Kaa nae mbali ni tapeli

TCRA , Jeshi la polisi, wazee WA cyber crime kamateni tapeli huyo

Ushahidi upo niko tayari kutoa ushahidi mahakamani

Mmmmmh...Kuna Jovin mmoja nakaa nae kitaani ila jina lake la Ukoo silijui hivyo ngoja niamke sasa nikalidadisi jina lake la pili na nikijua tu kuwa ni hio hilo nitatoa ushirikiano wa kutukuka kabisa kwa Wahusika.
 
KUONA TU SILAYOO NIMEJUA HAPATIKANI HAYOOMAJINA YAMKOA MACHACHARISANA
 
Mmmmmh...Kuna Jovin mmoja nakaa nae kitaani ila jina lake la Ukoo silijui hivyo ngoja niamke sasa nikalidadisi jina lake la pili na nikijua tu kuwa ni hio hilo nitatoa ushirikiano wa kutukuka kabisa kwa Wahusika.
Huwa wanasajili na majina ya uongo,huwezi kumpata kwa dizaini hiyo
 
Kwanini mnapigiwa na namba za mkononi za kawaida zizsizo za kampuni mnaingia mkenge?
 
Back
Top Bottom