TCRA: Mchukulieni hatua Jerry Muro kwa kusambaza habari za uongo za Dr. Godwin Mollel

Status
Not open for further replies.
Kuna Taarifa ya Wongo sana inayosambazwa na Kada mtifu wa ccm Jerry Muro ambazo ni wongo za Dr.Godwin Mollel Mbunge wa Siha kuwa amejiuzulu Habari hizi ambazo mwanzilishi wake ni Jerry Muro ni wongo na Uzushi na zinakila dalili ya kumpaka mtu matope TCRA ni jukumu lenu kufwatilia hili
Kwani Mhusika amekanusha??..

Ama ni uongo kwa sababu tu anayesambaza ni Jerry Muro?
 
Mbona nimeona clip Dr. Mollel akitangaza kuacha ngazi huko CHADEMA na kuwaomba watu wa Siha wamuelewe kwamba uamuzi aliofanya hawataujutia. Mwaka huu ni pigo baada ya pigo, hakuna kulala Hadi kueleweka.
Tupia humu iyo clip
 
Kuna Taarifa ya Wongo sana inayosambazwa na Kada mtifu wa ccm Jerry Muro ambazo ni wongo za Dr.Godwin Mollel Mbunge wa Siha kuwa amejiuzulu Habari hizi ambazo mwanzilishi wake ni Jerry Muro ni wongo na Uzushi na zinakila dalili ya kumpaka mtu matope TCRA ni jukumu lenu kufwatilia hili
Mkuu usipanic hii ni ghafla kama ile ya Katambi!
 
Mbona nimeona clip Dr. Mollel akitangaza kuacha ngazi huko CHADEMA na kuwaomba watu wa Siha wamuelewe kwamba uamuzi aliofanya hawataujutia. Mwaka huu ni pigo baada ya pigo, hakuna kulala Hadi kueleweka.
Heresay,weka clip or shut the hell up
 
Mbona nimeona clip Dr. Mollel akitangaza kuacha ngazi huko CHADEMA na kuwaomba watu wa Siha wamuelewe kwamba uamuzi aliofanya hawataujutia. Mwaka huu ni pigo baada ya pigo, hakuna kulala Hadi kueleweka.
Iko wapi hiyo clip? Kwa nini usingeileta hapa...?
 
Kuna Taarifa ya uongo sana inayosambazwa na Kada mtifu wa CCM Jerry Muro ambazo ni wongo za Dr. Godwin Mollel Mbunge wa Siha kuwa amejiuzulu. Hiyo habari imesambaa kila chomno cha habari cha kijamii,ukweli ni upi?

Habari hizi ambazo mwanzilishi wake ni Jerry Muro ni wongo na uzushi na zinakila dalili ya kumpaka mtu matope TCRA ni jukumu lenu kufuatilia hili.
 
Kuna Taarifa ya uongo sana inayosambazwa na Kada mtifu wa CCM Jerry Muro ambazo ni wongo za Dr. Godwin Mollel Mbunge wa Siha kuwa amejiuzulu.

Habari hizi ambazo mwanzilishi wake ni Jerry Muro ni wongo na uzushi na zinakila dalili ya kumpaka mtu matope TCRA ni jukumu lenu kufuatilia hili.

Una ushahidi kwamba mwanzilishi wake ni Jerry Muro?
 
Umeambiwa kuwa yeye ndiye muanzilishi....
Kwani mhusika amekubali?
Zwazwa wewe!
Wewe nawe....

IMG-20171214-WA0011.jpg
IMG-20171214-WA0011.jpg

Zwazwa kweli
 
Mbona nimeona clip Dr. Mollel akitangaza kuacha ngazi huko CHADEMA na kuwaomba watu wa Siha wamuelewe kwamba uamuzi aliofanya hawataujutia. Mwaka huu ni pigo baada ya pigo, hakuna kulala Hadi kueleweka.
CCM hawana tofauti na mwanamume mkware anayenyemelea visichana cheap vya shule na kuvihonga chips.
hivi kweli mwanamume wa hivi atatamba kuwa ni mwanamume rijali - au sarawili??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom