TCRA mchukulieni hatua huyu Nabii Tito, channel yake ya YouTube inamdhihaki Yesu

ACHENI NGANO NA MAGUGU VIKUE PAMOJA.

Ukristo siyo imani kama nyingine kwamba ukiona dhambi basi unamuadhibu mtendaji no, bali kuna muhusika aliyetoa uhuru na kuruhusu.


Hebu tujifunze kwa yuda alipomuuza Yesu, unadhani Yesu hakujua kuwa huyu jamaa atanisaliti ili niuawe?.

Wakristo kuna jambo la kipekee sana la kujifunza kila siku kuliko imani nyingine zinazojipigania kibinadamu.
 
Mkuu ndiyo democrasia hiyo au hujui Kuna accountability kwenya democrasia
Amkashifu na mtume Muhhamad tuone..democrasia au demon crasia..

Upuuzi wa kashfa za dini haipendezi..huyu anajua anachofanya..
Akamatwe aminywe tu anatafuta kuweka fitna ..mwisho wa siku iwe taabu...

Tunahitaji kuilinda amani ...yetu..

Mbuzi kama Hawa ni wa kutiwa zizini tu iwe mfano!
 
Back
Top Bottom