TCRA kuupiga mwingi kwenye mpango wa GIGA

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
878
955
Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Jim Yonazi akiongoza ujumbe wa wataalam wa mawasiliano-Tanzania, katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la Mawasiliano Duniani-ITU-Kanda ya Afrika Bi. Anne Rachel Inne’ kwenye mkutano uliojadili ushiriki wa Tanzania katika mpango wa GIGA unaoratibiwa na ITU.

GIGA ni mpango unaolenga kuunganisha kila shule duniani kwenye mtandao ifikapo 2030.

Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa Maendeleo ya Mawasiliano Duniani (ITU-WTDC-2022) unaofanyika jijini Kigali, Rwanda.
 
Vikao vya kulipana posho tu hakuna lolote lile.
 
Back
Top Bottom