TCRA: Kutoa taarifa za siri za mawasiliano ni kosa la jinai

Je, Tanzania tunaweza kujifunza nini kutokana hatua zinazochukuliwa katika skandali ya leo ya Uingereza ya News International (corporation) ya Media Tycoon J. Murdoch ambapo CEO wake Rebekah Brooks ‘ameshajivua gamba' pamoja na Makamanda wa juu wa Usalama wa London Metropolitan waliohusika au waliokuwa na dhamana ya kuongoza waliohusika na vitendo vilivyofanyika vya kuingilia simu za watu (phone hacking).

Leo wamewekwa kiti moto na Kamati ya Bunge kwa masaa kadhaa na uchunguzi unaendelea juu ya mahusiano ya chombo hiki cha habari na vyombo vya Usalama na pia Wanasiasa.
 
Wakuu, kwenye kuwasiliana na mtu fulani kuna mambo hungependa mtu au watu wengine wasiohusika wayajue hata kama watu hao hawawajui ninyi mnaowasiliana. Je, kuna privacy kweli kwenye njia hizi za mawasiliano? Kwa kiasi gani?
 
Akuna siri na wala aijawai tokea,na tena zama hizi ndo kabisaaa akuna privacy.Kutokana na technologia ya electronics
 
Chipukizi, unataka kunambia kila ninachoongea na mtu wangu kinanaswa live? Loh!
 
Siku hizi hata kuongea live na mtu hakuna guarantee ya siri rafiki. Formulae is to avoid skeletons in ur closet manake zitakuwinda hadi zikukamate, ni time factor tu!
 
Wakuu epuka kuropoka ovyo kwenye simu unaweza ukamsema mtu vibaya then yule unayempigia anapokea na kurekodi then anaipeleka kwa mtu uliyemsema then mtu mzima unaumbuka au akaweka loud spika mbele ya huyu mtu akisikiliza unavyobwabwaja,pili siri ipo(privacy) kwani hakuna mtu ambaye anashinda Equipment Room kusikiliza maneno ya wateja kwanza hakuna kitu kama hicho nimefanya field sehemu hizo na hakuna kitu kama hicho,sema records za simu zako,sms ulizotuma,na sehemu gani ulipo(mnara) zote zinajulikana!
 
Siri yako ni yako eee siri....akishiriki mwingine si siri tena!

Kama kuna jambo umedhamiria kweli liwe ni siri basi usitumie simu.
 
Haya makampuni kutoa taarifa binafsi za watu na kuzichapisha kwenye magazeti,hili limekaaje wakuu????
 
Haya makampuni kutoa taarifa binafsi za watu na kuzichapisha kwenye magazeti,hili limekaaje wakuu????

Sio sahihi kabisa. Ila najiuliza, nani anayeweza kuifanya kazi hiyo bila mkono wa watu wa serikali? Maana ukusanyaji wa taarifa kama hizo sio kitu rahisi mtu wa kawaida kukifanya?
 
Sijui sheria za nchi hapa zinasemaje bt najuaga kua ni mpaka police wapate court order hasa kama inahusiana na uchunguzi wa mtu mwenye hizo namba bt kutoa magazetini hiyo ni invasion of privacy na una haki ya kumshtaki mtu mahakamani
 
Hicho ndio kimefanya Mwanahalisi lifungiwe sio haki kuingilia uhuru wa mtu hata kwenye katiba yetu inakataza pitia kifungu cha 30 cha katiba kinachoweka ukomo wa uhuru wa habari, hakuna uhuru usiokuwa na mipaka.
 
Sio sahihi kabisa. Ila najiuliza, nani anayeweza kuifanya kazi hiyo bila mkono wa watu wa serikali? Maana ukusanyaji wa taarifa kama hizo sio kitu rahisi mtu wa kawaida kukifanya?

Kukusanya taarifa kupitia makampuni ya simu wala sio kazi ngumu ni rahisi sana ni kuwahonga tu watu wa IT hata Chadema wakati wa uchaguzi wa Bavicha walitumia hii mbinu kutoa taarifa za kina Habib kutumiana fedha kwa M-Pesa.
 
Hicho ndio kimefanya Mwanahalisi lifungiwe sio haki kuingilia uhuru wa mtu hata kwenye katiba yetu inakataza pitia kifungu cha 30 cha katiba kinachoweka ukomo wa uhuru wa habari, hakuna uhuru usiokuwa na mipaka.
kumbeeee? ila habari ile ilikuwa ya ukweli sio?
 
Hicho ndio kimefanya Mwanahalisi lifungiwe sio haki kuingilia uhuru wa mtu hata kwenye katiba yetu inakataza pitia kifungu cha 30 cha katiba kinachoweka ukomo wa uhuru wa habari, hakuna uhuru usiokuwa na mipaka.

Ritz wewe ndiyo msemaji wa serikali siku hizi?Mbona hizo sababu ulizozisema hazifanani na ambazo wamezitoa waliofungia mwanahalisi.Mbona wahusika hawajamfungulia mashitaka kubenea hata kwenda public kukanusha......Mumefulia.....:A S-baby:
 
CDM ndo vinara wa kuhonga kutafuta umbeya dawa yao ni kuwashtaki kampuni na CDM na mabwege wengine mtaani wanaoishi kwa kufuatlia cm za watu na kuwatishia na kutaft ujiko kuonekana baabkubwa ili waogopwe yaani kama majingajinga tu yanaishi kwa kupumulia taarifa za simu mazafanta
 
Back
Top Bottom