mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,771
- 7,138
Wana JF,
Nakubaliana na nguvu za TCRA itakazozitumia kuzima simu feki, TCRA imeona mbali kwani kupitia simu ambazo hazina viwango mambo yaliyojitokeza yalikuwa haya.
1. Simu feki hazina warranty, hivyo watumiaji walishindwa kulalamikia product ambayo inaoonekana kutofanya vizuri hivyo kupoteza haki.
2. Simu feki, zilikuwa zikilipuka mara kwa mara kwa kuwa viwango vya battery na cover yake haviwezi kuhimili joto la simu wakati unapiga na kupokea hutokea radiation kali ambazo pia ni aina ya moto fulani hivi.
3. Simu feki serikali ilikuwa ikipoteza mapato kwani simu zote zimeingia kwa njia ya panya, yaani zimekwepa kodi.
4. Simu feki zilikuwa hazina spare part, kwani ndani body yake ilikuwa inafanyiwa wayaringi ambazo huwezi kufuatilia chanzo cha ubovu wa simu , pia vioo vyake hubandikwa kwa moto ambapo mafundi walikuwa wakipata lawama sana kuwa wameharibu simu.
5. Mafundi simu nchini, wataachana na kesi nyingi za polisi kwa kuwa watakuwa wanatengeneza kitu wanachokijua.
6. Simu feki nyingi zina chips za MTK na Spedrum ambazo ni rahis kubadili imei hata kwa mkono au vi-software fulani fulani, hivyo ikiibiwa unaweza usiipate ikiwa watabadili imei number.
Faida za simu origino.
1. warranty= hapa unaweza kutoa malalamiko yako ukasikilizwa au kubadilishiwa simu nyingine.
2. uwezi kuibadili imei number kirahis,
3. zina software ambazo unaweza kuwasiliana na mwenye kiwanda akakutafutia simu ilipo ikiwa imeibiwa duniani kote mfano Iphone uwezi kuiba na kuitumia kirahisi.
4. Hazina radiation kali kwani zimepimwa viwngo na kupitishwa na FCC.
5. spare zote zinapatikana kirahisi, hivyo hauwezi kuitupa ikiwa imepata damage ndogo kama kupasuka kioo, kufa mic, hear phone n.k
Mwisho TRCA msiishie hapo nendeni madukani mkawakate wanaooendelea kuwauzia simu wani kuna mchezo wa wenye maduka wanawaforwadia message wateja na kuwadanganya kuwa ni origino.
TCRA kupitia mpango huu itongeza mapato kwani simu zote zitakuwa zinapita kihalali TRA ikiwa na wenye maduka kubanwa waonyeshe entry kwa orodha walivyopita bandarini au uwanja wa ndege