Yaani awamu hii tunaogezewa tu ugumu wa maishaTuko uchumi wa kati.
"Au nasema uongo ndugu zanguuu!!!"
Serikali haina hela so wanatunyonya kwa makapuni ya simu, wakiongezewa kodi na sisi raia tunaumiaTCRA wanataka pesa, na wakusanyaji ndio hao makampuni ya simu.
.unavyosema rais akija kujua...unafikiri hajui?...hivi unafikiria TCRA ni chombo kidogo eeh.. Kila siku bungeni wanalalamikia wanasema vijana wanakesha mitandaoni..wanatamani hata mitandao ifungwe...afu ukija huku unaona ghafla tu vifurushi vinapanda bei...hapa hakuna cha kujiuliza..hao tcra na mitandao ya simu lao mojaTCRA na Makampuni ya simu lao moja hao, siku Mh. Rais akija shtukia, kuwa hao lao moja wanamkandamiza mwananchi sana, TCRA Mkurugenzi atajutia. Makampuni ya simu yanafanya unyonyaji sana as if TCRA haiko dunia hii
true.unavyosema rais akija kujua...unafikiri hajui?...hivi unafikiria TCRA ni chombo kidogo eeh.. Kila siku bungeni wanalalamikia wanasema vijana wanakesha mitandaoni..wanatamani hata mitandao ifungwe...afu ukija huku unaona ghafla tu vifurushi vinapanda bei...hapa hakuna cha kujiuliza..hao tcra na mitandao ya simu lao moja
Kwani yeye hatumii simu! Au hajui?TCRA na Makampuni ya simu lao moja hao, siku Mh. Rais akija shtukia, kuwa hao lao moja wanamkandamiza mwananchi sana, TCRA Mkurugenzi atajutia. Makampuni ya simu yanafanya unyonyaji sana as if TCRA haiko dunia hii
TCRA na makapuni ya simu wanajuana na lengo kumkomoa mtumiaji wa mwisho.
Hii ni muhimu sana, kwanini ununue kitu hala kiishe bila kutumika? Yaani wizi uko hapo.Waongeze na hili: nikinunua bando ni mali tangu hakuna kuisha mda hd nitakapomaliza mwenyew..! Tcra mnakwana wap!?
😅😅Ni noma sanaDAKIKA 600 MITANDAO YOTE DAKIKA 700 USIKU
DAKIKA 500 MITANDAO YOTE DAKIKA 600 LONGA NAYE (NAMBA MOJA)
Ila makampuni ya simu bhana
Mbona wameleta sheria moja.TCRA imewataka watoa huduma za simu nchini kuweka utaratibu utakaomuwezesha mteja kuhamisha unit za kifurushi chake kwenda kwa mtumiaji mwingine aliye ndani ya mtandao wake.
Pia wametoa sharti la kiasi cha chini kuhamisha kutoka kwa mtumiaji kwenda kwa anayehamishiwa itakuwa kuanzia 250MB.
Hatua hiyo imetokana na uwepo wa malalamiko mengi kutoka kwa watumiaji kuhusu vifurushi vya simu.
Waturudishie 1500 wiki unapata 1Gb