Tcra isitufanye watanzania wote wajinga au hatujui kusoma

SHAROBALO

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
771
349
Katika kutembelea web yao wameelza very simple kuwa hauna madhara ya kutumia simu.....wamerahisisha mno

soma hii hotuba toka kwa mkurugenzi mkuuuuuu

http://www.tcra.go.tz/headlines/RadiationPressSw.pdf

Halafu soma hii elimu kwa umama walivyoelezea vizuri

Mobile phone radiation and health - Wikipedia, the free encyclopedia

Baada ya hapo napata maswali mengi...hivi tupo kwenye mikono salama ya serikari yetu?

hawa viongozi wanaoongea vitu bila research yoyote na kurahisisha mambo wamesomea fani gani?

Kweli hii ni tanzania
 
kazi ipo hasa kwenye mambo haya ambayo 10% yake ni kubwa bora mfe wao wafaidi..

long time no see buddie..
 
Inaonekana huyu mkurugenzi yeye hajui kitu kabisa....... research ipi hizo alifanya akagundua hakuna madhara..wakati walio tengeneza hizo simu hadi leo bado wanafanya hangaika na reseach za kutatua matatizo

simu zinaleta cancer kama watanzania hawajui kuna evidence na zipo proved kabisa...ila si lazima na wewe upate ugonjwa inategemea vitu vingi sana...
kazi ipo hasa kwenye mambo haya ambayo 10% yake ni kubwa bora mfe wao wafaidi..

long time no see buddie..
 
nipo mkuu ndeticha nipo sana...sema MAJUKUMU yameniandama ukubwa jalala
 
Well Maishani hakuna kitu kisicho na madhara. Tunatakiwa tutumie vitu kwa uangalifu ikiwa ni pamoja na kufuata safety measures. Kusema kuwa simu za mkononi zina madhara haina kwamba wazifungie au watu waache kuzitumia. Badala ya kukanusha wangeelimisha watu kufuata safety measures.

Magari na pikipiki zina madhara mkubwa huenda kuliko hata simu. Lakini bado kila kukicha tunayatumia.

Hivyo tusichukulie hili swala ki jazba bali kila mmoja anayeelewa achukue tahadhari.
 
Mkuu Sharobalo , mbona kitu unachoongea ni tofauti na kitu uliki link , mbona hiyo report uliyoweka inapingana na unachosema , TCRA wapo sahihi kabisa kwa kusema kutokana na tafiti nyingi zilizofanyika , hakuna hata moja inayoonyesha moja kwa moja kwamba utumiaji wa simu unasababisha kansa
Many scientific studies have investigated possible health symptoms of mobile phone radiation. These studies are occasionally reviewed by some scientific committees to assess overall risks. A recent assessment was published in 2007 by the European Commission Scientific Committee on Emerging and Newly Identified Health Risks (SCENIHR).[SUP][4][/SUP] It concludes that the three lines of evidence, viz. animal, in vitro, and epidemiological studies, indicate that "exposure to RF fields is unlikely to lead to an increase in cancer in humans".

Watafiti wameamua kufanya tafiti zitakazojumuisha utumiaji wa simu kwa muda mrefu , kwa hiyp usianze kuwalisha watafiti maneno yako.
TCRA inachotakiwa kufanya ni kutoa elimu tu kuhusu matumizi mazuri ya simu kwani kuna possibility ya mandhara ingawaje hakuna mtaalamu aliyeweza kuthibitisha hilo
 
yaah ni kweli ila ninachosema ni kuwa...TCRA wame rahisisha mnoo...yaani wamefanya conclution kuwa kuna zero effect. ukisoma hio research inasema kuwa ni "unlikely" haimaanishi kuwa haiwezekani kabisa..na pia wanasema kuwa research bado zinaendelea so no conclusion yet....huwezi jua labda effect haitakupata wewe user labda itampata mtu wa third generation kwenye bloodline yako sijui kama umenisoma hapo mkuu... mfano dna yako iwe ina tatizo basi tatizo laweza kuja tokea kwa mjuukuu wa mjuukuu wako. so TCRA imerahisisha mnoo. at least ingemaliza kwa kusema kuwa tafiti bado zinaendelea kufanywa.
 
Back
Top Bottom