TCRA ingilieni hili tatizo la mitandao ya simu kuchelewa kurudisha miamala waliyoikata kimakosa

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,039
2,000
Imekua ni kawaida na mazoea sasa endapo mtandao wa simu utakata kimakosa fedha kwnye akaount yako utaona kabisa wanakuoa mda wa masaa 74 hadi 96 na pengine hata week nzima kwa wao kurudisha pesa yako.

Kumbuka hapa mtumiaji yaani mteja alikua na matuzi immediatlly ya pesa hizo lakini wao bila kujali wanachelewa ku-reverse.

Binafsi kuna wakati niliweka vocha wakaikata na hawakunipa kifurushi,walikiri na wakasema baada ya masaa 24 lakini leo ni mwezi umepita sasa sijaona Reverse yeyote ya Vocha wala Kifurushi.

Juzi ilitumwa pesa kutoka Bank kuja Kwenye Mtandao wa Simu imechukua week nzima ile hela kurudhishwa baada ya makosa yao ya kimtandao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom