Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Hapa kuna tofauti gani au nayo ni sehemu ya kuendeleza udhalimu na kutishia vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu kutotangaza habari za upinzani.
Hapa kuna tofauti gani au nayo ni sehemu ya kuendeleza udharimu na kutishia vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu kutotangaza habari za upinzaniView attachment 1549974View attachment 1549975
Tcra haihusiki na magazeti,yenyewe inahusika na redio,televisheni na blogu tuHapa kuna tofauti gani au nayo ni sehemu ya kuendeleza udharimu na kutishia vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu kutotangaza habari za upinzaniView attachment 1549974View attachment 1549975
Hiyo TV na Radio Mawingu ,watangazaji walikuwa wanasoma like kilochoandikwa kwenye Magazeti .Mkuu jaribu kufafanua kidogo kwani wengine hatusikilizagi brabra za Radio na TV mbao
Kwa iyo magazeti sio chombo cha habari .?Tcra haihusiki na magazeti,yenyewe inahusika na redio,televisheni na blogu tu
Afafanue! Inamaana umeshindwa kusoma kilichoandikwa kwenye magazeti hayo! Na kuona kama kuna tofauti ya ilichotangaza Clouds TV.Mkuu jaribu kufafanua kidogo kwani wengine hatusikilizagi brabra za Radio na TV mbao
Mkuu hivi Clouds imefungiwa kwa muda gani, maana tangu saa 12 jioni naona wanaomba tu radhi!!Hapa kuna tofauti gani au nayo ni sehemu ya kuendeleza udharimu na kutishia vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu kutotangaza habari za upinzaniView attachment 1549974View attachment 1549975
Jielimishe.Hapa kuna tofauti gani au nayo ni sehemu ya kuendeleza udharimu na kutishia vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu kutotangaza habari za upinzaniView attachment 1549974View attachment 1549975
Wakati mwingine, kujifariji Ni sehemu ya maisha 😂😂Haya yote kuisha nchini Tanzania, Ni October 28.
Baada ya uchaguzi, rangi ya kijani itakuwa imepotea mitaani kwa aibu kubwa
Hata Redio Uhuru walitangaza hata magic fm walitangazaTcra haihusiki na magazeti,yenyewe inahusika na redio,televisheni na blogu tu