TCRA, inakuwaje magazeti ya Uhuru na Jamvi la Habari hayajafungiwa kwa kuripoti habari sawa na Clouds Media?

Haya ndio mambo ambayo Lissu akiyaongelea watu wanasema Ni mchochezi anatukana wakati .


Mambo yanayofanyika ni aibu kwa Magufuli na wapumbavu wote wanao msaport
Alisema, "hata ninyi hamko salama akimaliza kutushugulika ataeageukia ninyi" nadhani sasa kidoooogo wanaanza kuelewa.
 
Haya yote kuisha nchini Tanzania, Ni October 28.
Baada ya uchaguzi, rangi ya kijani itakuwa imepotea mitaani kwa aibu kubwa
Kama wana tisha vyombo vya habari ili viandike habari zao tuu. Tuna tegemea kutangazwa kweli. Yaani hii ni awamu ya records
 
Jielimishe.

TCRA haisimamii Magazeti wala Majarida. Magazeti na Majarida yanasimamiwa na Idara ya Habari Maelezo ambayo ipo chini ya Wizara ya Habari. Idara hii ndiko hayo magazeti yanapata usajili na kusimamiwa. Hata wewe kama unahitaji kuanzisha gazeti utaenda huko.

TCRA inasimamia vyombo vya Utangazaji, Simu,Posta,na Mawasiliano yote ya Kielektroniki zikiwemo redio call,mawasiliano ya ndege, kuthibitisha vyombo vipya vya mawasiliano, mambo ya vipeto kv DHL, mambo ya mkongo nk nk wakiwemo online media, coded number kv *150*01# nk nk...

Kwa hiyo malalamiko yako haya yawasilishe Idara ya Habari Maelezo.

Ni muhimu tujenge utamaduni wa kujifunza juu ya vitu vyetu ndugu watanzania ili tuelewe mifumo yetu kiukamilifu.

Wasalaam!.

N'yadikwa
Wote ni ndugu wa baba mmoja mkatili asiyependa ustawi wa familia yake.
 
Hapa kuna tofauti gani au nayo ni sehemu ya kuendeleza udharimu na kutishia vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu kutotangaza habari za upinzaniView attachment 1549974View attachment 1549975
Yaani kufanya kazi ndani ya serikali hii ya awamu ya tano, inakubidi uwe ni mtu wa kufanya maamuzi ya "double standard" ya hali ya juu sana!

Ukiwa ni mtu mpenda haki itendeke, na unatumia sheria kama zilivyo, ambapo zinakata huku na kule, hakika utawala huu huwezi kufanya kazi, kwa kuwa ni lazima Jiwe akutumbue!
 
Magurufi wants to go down with everybody, Kilaba was one of truely patriotic Tanzanian in terms of standing up to the best interest of his country and its people, but alas, that shy man, yesterday he was behaving unlike his inner beliefs, he was talking under direct influence... he was both fearful and evil..
 
Hapa kuna tofauti gani au nayo ni sehemu ya kuendeleza udhalimu na kutishia vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu kutotangaza habari za upinzani.

View attachment 1549974

View attachment 1549975
Akili ya Rais Magufuli anaijua mwenyewe tu. Ambao bado wana mwamini bila shaka wana matatizo ya akili pia. Nyerere asingemvumilia. Double standard ya wazi wazi kabisa. Lakini mwenyewe hujifanya mnyenyekevu kuliko hata Yesu Kristo. Roho yake ina uovu wa hali ya juu. Double standard ilianza zamani mfano kwenye vyeti feki, hata aibu hana.
 
Back
Top Bottom