Tcra ebu kuweni serious am getting msgs from +41798073040 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tcra ebu kuweni serious am getting msgs from +41798073040

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Njowepo, Dec 1, 2011.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Leo nimepokea msg zaidi ya 50 kupitia line yangu ya VODA ,Mojawapo ya msg inasema <KAMPENI ZA VITISHO KWA WAGOMBEA WANAWAKE>
  Zingine"WANANCHI WAPENDEKEZA KURUDIWA KWA HOTUBA ZA NYERERE ZIHUSUZO DIRA YA UONGOZI BORA "

  Na bado zaendelea kuingia ngoja nizime simu!
  Alafu zingine zahusu kampeni za uchaguzi uliopita 2010
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mods unganisheni na ile SPAM nyingine kulee
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  hata mimi nimepata kama 100 hivi, sio TCRA tu hata hii mitandao nayo inaboa, wanaruhusuje disturbance za kiasi hiki.
   
 4. c

  cesc Senior Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mmmmmmmmmmmmmhhh...ni soooo...poleni mliotumiwa....
   
Loading...