TCRA chukueni hatua kwa TMA kwa kutudanganya wana Mtwara

Ndo maana inaitwa utabiri wa hali ya hewa inaweza kutokea au isitokee,ww badala ya kufurahi haijatokea angalau ingeleta maafa mazito ww unashangaa ya TCRA,UNAZUNGUMZIA TCRA AMBAO WAMESHINDWA KUSIMAMIA VINGA'MZI KURUSHA LOCAL CHANEL BURE MFANO CLOUDS KWENYE CONTINENTAL MPAKA ULIPIE NA ETV NA WASAFITV
 
Kwa mganga wa jadi lazima tu hakosi cha kusema,

Ndio Hao TMA Sawa tu na BAbu wa LOLIONDO,

ALIYEUMBA MBINGU NA ARDHI KAONESHA YEYE NDIO BINGWA
 
Mleta mada mpuuzi kuliko upuuzi wenyewe
Yaan ulitamani maafa yatokee ilhali watu wamekesha makanisani kuomba ? Ushindwe kwa jina la Yesu
 
Uzi huu hauna mahusiano na uzi mwingine humu jukwaani.

Wakazi wa Mtwara leo wamekuwa na taharuki iliyo wasababishia hasara kubwa baada ya taarifa zauongo za TMA kwamba leo kutakuwa na kimbunga.

Mpaka muda huu hakuna hata kiashiria cha kimbunga na leo wananchi wametumia gharama kubwa kukimbia kwenye kambi mbalimbali ili kujiokoa.

Wafanya biashara wengi wamefunga biashara zao, wafanya kazi leo hawajaenda kazini, wapo waliozimia kwa hofu pale Airport nk.

Kwakweli leo imekuwa kama siku kuu ya wajinga wa Mtwara, Tafadhali TCRA chukueni hatua kwa mamlaka ha hali ya hewa kwani wametudanganya sana, si Mtwara tu hata mikoa mingine imekuwa ikidanganywa sana na TMA.

Binafsi sijawahi kuona faida za TMA, tabiri zao ni kama ramli fulani mbona wenzenu wa NASA wanafanikiwa? TMA mna tatizo gani na mna jinadi kuwa mna vifaa vya kisasa?

TCRA wapigeni hawa faini ili siku nyingine wasikurupuke kutoa tahadhari zisizoeleweka.
Hii ni sawa na wafanyakazi wa boss kupeana adhabu kwa kutofanya kazi vizur ya boss
 
Nimepitia comment nying unalalamika sasa kingetokea mnataka kodi ya nani ingetumika kuwatafuta mngepotea au kuwapa garama za matibabu. Au unazani wale wanaopewaga misaada ya kimataifa kwenye majanga huwa wanapewa magr
 
Fala huyo, alitaka awe wa kwanza kuanzisha uzi wa maombolezo!!

Watu bado tuko ktk taharuki huenda mpaka J3 ndio tutarudi kuwa kawaida, jinga fulani linaleta masihara hapa kuhsu maisha ya watu..

Limenikera sana hili lipuuzi...
Wacha tuendeleze dua na Ibada mkuu!!
Na hao ni TMA??? kwanza haupo mtwara hii inshu tuachie wenyewe ....

Ulitaka kitokee ili iweje ...watu wameshinda kwenye nyumba za ibada kimbunga kisitokee we unaleta porojo hapa View attachment 1081149
 
Hahahaha!!

Kuna watu eti wamekesha kanisani kuomba. Hiki ni kichekesho. Mtoa mada yupo sahihi kabisa.
 
Watu wachawi sana,hadi unaandika uzi?nenda kamtafute kiongozi wakobwa dini akuombee jomba
 
Nakuuliza unajua kama dunia ni ya Mungu na analotaka ndilo linalofanyika???? Hata kama tma walitabiri lakini kwa maombi Mungu kaepushia mbali hiko kimbunga .....hebu tuache bwana sisi tuliopo mtwara ndiyo tunaopaswa kulalama sio wewe

Huko Msumbiji hawamjui huyo Mungu? Au ww ndio mama Kijazi mkurugenzi wa TMA nini? Ni hivi, hao TMA ni kama waganga wa kienyeji, hawana lolote wanalotabiri zaidi ya kuchomekea ili walipwe. Niliwasikitikia sana watu walioamini hiyo taarifa ya TMA. Nimeshakula hasara sana kwa kusikiliza utabiri wa hao TMA. Hizo mvua wanazotabiri kila siku na hazinyeshi nazo ni watu wamesali ili zisinyeshe?
 
BBC weather nao walitahadharisha tangia jana.. Vipi na wao unawaambiaje?
 
Huko Msumbiji hawamjui huyo Mungu? Au ww ndio mama Kijazi mkurugenzi wa TMA nini? Ni hivi, hao TMA ni kama waganga wa kienyeji, hawana lolote wanalotabiri zaidi ya kuchomekea ili walipwe. Niliwasikitikia sana watu walioamini hiyo taarifa ya TMA. Nimeshakula hasara sana kwa kusikiliza utabiri wa hao TMA. Hizo mvua wanazotabiri kila siku na hazinyeshi nazo ni watu wamesali ili zisinyeshe?
Sawa umeshinda wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom