TCL, SKYWORTH, STAR X, MR. UK, BRUHM ipi tv ya kuchukua kwa china brand hizi

iokote

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
601
875
Wakuu nina mpango wa kuvuta LED norma TV 43” katika brand za China hizo. Ipi kati ya Tcl, Star X, Mr UK, Bruhm ni nzuri katika ubora wa picha na vitu vidogo vidogo vingine.

Kama ni samsung, LG au Sony material naomba pita kimya tu mimi nataka Chinese brand hizo.

Natanguliza shukrani.
 
TCL, STAR X au SINGSUNG . Hakikisha umepata original. Ukipata Singsung original utafurahi zaidi.
Wakuu nina mpango wa kuvuta LED norma TV 43” katika brand za China hizo. Ipi kati ya Tcl, Star X, Mr UK, Bruhm ni nzuri katika ubora wa picha na vitu vidogo vidogo vingine.

Kama ni samsung, LG au Sony material naomba pita kimya tu mimi nataka Chinese brand hizo.

Natanguliza shukrani.
 
Wakuu nina mpango wa kuvuta LED norma TV 43” katika brand za China hizo. Ipi kati ya Tcl, Star X, Mr UK, Bruhm ni nzuri katika ubora wa picha na vitu vidogo vidogo vingine.

Kama ni samsung, LG au Sony material naomba pita kimya tu mimi nataka Chinese brand hizo.

Natanguliza shukrani.
Tcl mkuu
 
mkuu, kuna hizi za Startimes pia ziko vizuri jaribu! sema huwa haikai zikifika tu, utasikia simeishia jeshini!

pia ukinunua ikisumbua ukirudisha wanakubadilishia
 
Wakuu nina mpango wa kuvuta LED norma TV 43” katika brand za China hizo. Ipi kati ya Tcl, Star X, Mr UK, Bruhm ni nzuri katika ubora wa picha na vitu vidogo vidogo vingine.

Kama ni samsung, LG au Sony material naomba pita kimya tu mimi nataka Chinese brand hizo.

Natanguliza shukrani.

TCL ipo class moja na Samsung, Sony etc....

Brand hii inauzika sana hata ulaya.

Hizo brands zingine kama Star X nk, sina uhakika nazo.....based on this, nakushauri ununue TCL
 
Wakuu nina mpango wa kuvuta LED norma TV 43” katika brand za China hizo. Ipi kati ya Tcl, Star X, Mr UK, Bruhm ni nzuri katika ubora wa picha na vitu vidogo vidogo vingine.

Kama ni samsung, LG au Sony material naomba pita kimya tu mimi nataka Chinese brand hizo.

Natanguliza shukrani.
Star times 42" nimeijaribu naona iko vizuri
 
Kanipenda hivyohivyo
Kimbao mbao chetu, agata edward!
balozi_wa_insta_BxkuRaOlYdW.jpeg
 
Back
Top Bottom