Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA! Yasema CHADEMA waliomba kibali cha kuruka kwenda Dar leo saa tatu asubuhi

Wambieni hao TCAA ni wapuuzi tu kama walivyo mbwa wa Lumumba walojaza matope ,ujinga, upumbavu ..

T.lissu na team yake sio wajinga, et kurekebisha Kibali iwachukue masaa manne .

Ukweli nikua MWAMBA TUNDU ANTIPHAS LISSU ALIAMUA MWENYEWR KWA MAKUSUDI KABISA, KUMUAMURU RUBANI WA CHOPA YAKE, KUONDOA MZIGO KAMA AMBAVYO ALIAMUA KUTUMIA MTUMBWI KUVUKA ZIWA.

HUYO NDIO LISSU.

SASA MAFALA WA TCAA WANALETA UPUMBAVU UPUMBAVU.. WAENDE WADANGANYE MAJINGA YA LUMUMBA..
Mamamamamamayake
 
Hao wenye helkopita wangeruka wangetua wapi sasa bila idhini? na je wangetua kisha kuzuiwa hiyo helikopita yao mpaka walipe faini za kutosha Lissu angewalipia au wangelipa wenyewe?
 
#Kibali cha TCAA kutua anga la Tanzani. Watu mnatakiwa muwe mnatafuta taratibu za uendeshaji wa vifaa vya kiufundi hasa vitumiavyo anga. Soma sheria ya TCAA (Tanzania Civil Aviation Act, Regulations & Directives for hellicopter operators). Jiepushe kuwa sehemu ya upotoshaji kwa sababu tu kuzidiwa na mahaba ya kisiasa. Safety in aircraft operation is the first priority.
 

Attachments

  • The Civil Aviation Act, Cap 80 [R.E. 2006].pdf
    244.8 KB · Views: 10
  • The Written Laws Miscellaneous Amendments No 3Act,2013.pdf
    2.7 MB · Views: 8
  • The Written Laws Miscellaneous Amendments No.3Act,2016.pdf
    466.6 KB · Views: 5
  • Directives on Operating Helicopters in Populated Areas and sites not designated as Aerodromes.pdf
    496.4 KB · Views: 6
Katika kipindi hiki cha kampeni lolote linawezekana. Kwamba Lissu anaweza kuwa kachukua advantage ya kisiasa dhidi ya TCAA na serikali inayoongozwa na wapinzani wake CCM au TCAA wamefanya blunder ili kuinusuru CCM, hivyo wanataka kujisafisha tu.

Japo kwa uzoefu wa kipindi hiki cha kampeni kiukweli tumesikia mara nyingi hii mamlaka ikihusishwa kudhibiti harakati za kisiasa za Lissu hasa upande huo wa anga anapokuwa akihitaji kutumia usafiri huo. Hii si sawa hata kidogo, mamlaka itumike kama ilivyokusudiwa na si vinginevyo. Itachochea hasira kwa wafuasi wa Lissu ambao pia ni wananchi wa Tanzania.

Tumeshuhudia taasisi nyingi za kiserikali na vyombo vya dola zikitumika kukandamiza wapinzani. Hili nalo si sawa kabisa. Watumishi wa serikali wafanye kazi kwa ueledi na taaluma kuitumikia serikali na si kwa matakwa ya vyama vya siasa hasa chama tawala. Hii ni nchi ya kidemokrasia.
 
Pimbi

sijawahi ona pimbi mjinga ka wewe, yaani wewe ni mbumbu na mpumbavu ka si lijinga lililojaza kinyesi badala ya ubongo kichwani. Hivi huyo kibaraka wako anaoubavu wa kuruka bila kibali na asitunguliwe???? Msg sana kmm ako. Hata musoma huyo kibaraka wako baada ya kupakiza gari akatunga uongo wa kusema eti wamezuia, lijinga likubwa mnakubali kudanganywa pimbi wakubwa. Kuwa na watu ka wewe kuendelea kuishi ni hasara pimbi mkubwa bora mufe wajinga kabisa maana mnasadiki uongo ws nge wakubwa
Wee taahira la lumumba kakojoe ulale jinga wewe
 
Mamlaka ni waongo na hawaaminiki. Bora hawawapi taarifa kamili maana wanaweza kufanya lolote kutokana na mambo ambayo wamefanya kwenye kipindi hiki cha kampeni.
 
Wanatafuta kura za huruma.. Hawapati ng'o

Ha haaa CCM nyie ni wezi sana ,sasa unaweza sema hapa palikuwa na Kura ngapi huyu Mama ametumbukiza !?.

IMG-20201027-WA0027.jpg
 
Hakuna Rubani yeyote mwenye leseni na mwenye akili timamu atakayekubali kuruka bila idhini ya Mamlaka ya Anga! Kufanya hivyo maana yake ameamua kuondoka kwenye huduma ya kurusha ndege Kitaifa na Kimataifa!!
Kama serikali yako inaamua kuzima internet nchi nzima bila sababu zozote za msingi isipokuwa tu kumwogopa Tundu Lissu na CHADEMA kutema cheche watashindwa nini kumfanyia hujuma kama hii ya kufanya flight tactical delayment pale KIA ili mradi tu ashindwe kufika kwenye mkutano muhimu DSM eti ili kumzulia lawama kwa melfu ya watu waliokuwa wanamsubiri uwanjani - DSM?

Acheni ujinga na upumbavu wa karne ya 17 nyie. Tuko karne ya 21 sasa, karne ya sayansi na teknolojia. Helicopter inaruka tu na inaweza kutua hata juu ya Nyumba, hakuna wa kuingia kwenye shida hiyo..

Imefanyika hivyo na ilishafanyika kwingine mara nyingi tu..!!
 
Back
Top Bottom