Tcaa(tanzania civil aviation authority) aibu gani hii??mama munyagi unalijua hili?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tcaa(tanzania civil aviation authority) aibu gani hii??mama munyagi unalijua hili??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 22, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Ndugu wapendwa
  Kwako mama MUNYAGI kila mtu anathamani kazi yako uchapakazi wako na uadilifu wako
  lakini pengine hili yawezxekana ulijui ama kuna wachafuzi hapo TCAA wanakuchafulia kazi
  zako.
  Kuna chuo kinajiita TANZANIA AVIATION TRAINING COLLEGE Kipo hapo Tazara
  mpendwa mama Munyagi chuo hiki kinatoa elimu ya mambo ya ndege na kina miaka zaidi ya miwili sasa
  kwa masikitiko makubwa chuo hiki akijasajaliwa na NECTA wala TCAA kuwapitisha kama chuo.

  Cha ajabu wanafunzi wengi wametoka huku wamekuwa wakipata license ya FOO na nyingine nyingi hapo kwako TCAA. Je huu ndio muamko wa TCAA kuwapasisha watu wasiosajiliwa.


  Kibaya zaidi chuo hiki wanatoza in dollars ..eg ffo course usd 3000 wakati viko vingi airport ..na kibaya zaidi mwenye chuo amekuwa akiwataka wahitimu kimapenzi na kuahidi kutowapa vyeti vyao mpaka wafanye nao mapenzi.


  Nafikiri huu si ustaarabu na malalamikomhaya yametolewa hapo kwako nakuishia kwenye makabati huku wengine wakipigwa mikwara watanyanganywa leseni walizopata na baadhi ya wafaanyakazi wako...nafikiri ni muhimu tuwe makini kuliko kuangalia fedha kwanza ...walipofwatilia TCAA wakakuta awajasajiliwa na walipoulizwa kwa nini ameruhusiwa kutoa vyeti na kufundisha wakadai ameonyesha interes ya kujisajili

  najua kila mtu anakula jikoni mwake lakini tunaomba hivi vyuo vifuatiliwe mtatoa watu warusha ndege wakaishia kumwaga ndege zetu KIPAWA afashali hata wameamishwa sasa hivi.

  Dear mama ni masikitiko yangu hivi sasa jamaa wamebadika jina la TANZANIA AVIATION UNIVERSITY COLLEGE je TSU mnajua hili tunaomba tuwe serious na kazi za watu ...na je ni sheria gani kufwata mhitimiu ukifaulu na ukakatiliwa cheti kisa kutoa %^&^^&*???msaada tafadhali
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Ukimfwatilia sana mwenye chuo anasema hakuna wa kumtisha na mnakotaka kwenda nendeni baya zaidi kamtaja mzee wetu Bakari Mwapachu akisema kama amumjui mwapachu vizuri nendeni kama ajawapeleka nyie kwanza mahakamani..???

  Huu ni wizi na kuna connection na watu wa TCAA aiwezekani akawa anajitapa hivi ..je TCAA mmegeuka na nyie mtaji jamani??elimu za ndege zitafika kwa style hii
   
 3. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2010
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kama usemavyo, Mama Munyagi asingeruhusu hata chembe uchafu wa namna hii. Labda ukufahamu hili; Mama Magreth Munyagi AMEKWISHA STAAFU TCAA!
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  lini?
   
 5. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mbona mada haina mbele wal nyuma.
  Be concise ili ujumbe ufike pale panapostahili
  andika
  Jina la Chuo
  Mmiliki
  Chuo kilipo
  Kiliposajiliwa
  nk..
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280

  ooohhh ndio maana TCAA imeanza kuchafuka aikuwa\ hivi kabisa yule mama akutaka ujinga hata uzaliwe nae kwenye swala la kazi
   
 7. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,215
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280

  Nimeshindwa kuelewa vema somo hili, Mfalila, please put some punctuation marks properly!
  Nashindwa kuelewa sentensi imeanzia wapi na kuishia wapi.
   
 8. Azikiwe

  Azikiwe Senior Member

  #8
  Aug 23, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mfalila hii uliandikia Kwankjeka nini?:ballchain:
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  OMG, ..Hata mimi sina taarifa hizi za kustaafu Mama Munyagi, unless kama ni mwingine na si DG-TCAA!
  Man dont copy from the blues eeh!

  Lkn pia Bwana MFALILA umeandika kama vile unafukuzwa, unaonyesha una kitu chenye mantiki, lakini presentation yako mbofumbofu!
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  wakwetu....mama hawezi kustaafu kimya kimya bana....khaa!!
   
Loading...