Tcaa aibu tupu, wadau wakosa mawasiliano siku 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tcaa aibu tupu, wadau wakosa mawasiliano siku 4

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jihadwar, Aug 1, 2011.

 1. j

  jihadwar Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Idara nyeti ya usalama wa usafiri wa anga imetia aibu kubwa baada ya kukosa umeme katika jengo lao jipya baada ya kupata hitilafu ya umeme kwa siku nne mfurulizo, tangu ijumaa huku Generator zote mbili zikigoma kuwaka. wakati hali hiyo ikiendelea king'ola cha kuashiria moto kilianza kulia ghafla na kusababisha taharuki kwa wafanyakazi na wateja waliokuwepo ndani wakisubiri huduma ambayo imesimama kutokana na hali hiyo, watu walikuwa wanakimbia hovyo kusalimisha maisha yao, wafanyakazi walilazimika kuondoka mapema kwa kuwa hapakuwa na matumaini yoyote.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,510
  Likes Received: 19,926
  Trophy Points: 280
  mambo ya ccm haya
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,583
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  mkuu uliniona nini yaani sikujua ngazi nilishukaje mpaka sasa anyway niaibu kubwa na hili kama mnakumbuka nilileta mchanganuo wa ujenzio wa hili jumba ni aibu pesa iliotumika na uimara ninavyoongea nenda pale kwenye sehemu ya kula kunavuja mvua ikinyesha unajiuliza anyway
   
Loading...