TBT- Kitila Mkumbo na Mwita Waitara wakikosoa CCM na JPM kabla hawajaunga mkono juhudi

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Ee Mungu embu niambie hiyo 2016 hadi walipoamua kuunga mkono juhudi wameona nini cha tofauti?
*kwako wewe MODERATOR unayefutaga hizi tweets za hawa jamaa,Mungu akulaani ukifuta na hiii*
KITILA.PNG
MWITA.PNG
 
Kitila asaivi ukimuuliza atoe maoni, kuhusu mwenge, atakwambia mwenge uenziwe make unafungua miradi ya maendeleo wala hatakumbuka alocho-tweet mwaka 2016.
 
hujakatazwa kuweka thread ya lema vs lowassa hapa tunazungumzia hao jamaa wawili,huoni ni hatari kubwa mmewapa hadi vyeo vya kuendesha nchi,hao ndiyo wasaliti wenu sasa,nyokaz in da houseee
Tuwekee Na ya Lema akisema Ni baraka Kwa Mungu kumtukana Mzee Ngoyai
 
Mkuu tuletee na zile za akina Lema kuhusu lowsa
sijawahi ziona,ila lowasa hana dola,hatari kubwa ni kuwaweka watu kwenye nafasi za maamuzi ilihali hawakupendi,kuchekeana kijino pembe,kuna mmoja hapo sherehe zikifutwa anashangaa na hakubaliani na mwenge,huoni hawa watu walio karibu na mtawala ni hatari?
 
hujakatazwa kuweka thread ya lema vs lowassa hapa tunazungumzia hao jamaa wawili,huoni ni hatari kubwa mmewapa hadi vyeo vya kuendesha nchi,hao ndiyo wasaliti wenu sasa,nyokaz in da houseee

Haijakatazwa kutumia thread iliyopo kuzungumzia the same characteristic iliyozyngumzwa
 
sijawahi ziona,ila lowasa hana dola,hatari kubwa ni kuwaweka watu kwenye nafasi za maamuzi ilihali hawakupendi,kuchekeana kijino pembe,kuna mmoja hapo sherehe zikifutwa anashangaa na hakubaliani na mwenge,huoni hawa watu walio karibu na mtawala ni hatari?
Mkuu umejisahaulisha kwel
 
Back
Top Bottom