#TBT Kipanya: Clouds TV hawana kipindi chochote cha maana ukiacha taarifa ya habari pekee

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,617
34,062
Wadau,

Leo nimeona tujikumbushe na suala hili, moja ya kumbukumbu ni kwamba mchora katuni maarufu Masoud Kipanya siku Clouds TV wanafanya sherehe ya kuanza kuonekana DSTV, aliwaponda kupitia ukurasa wake wa facebook kwamba hawana kipindi chochote cha maana, ukishaangalia taarifa ya habari ndo basi tena

[HASHTAG]#Sasa[/HASHTAG] kaajiriwa na hao hao wenye vipindi vya ovyo
 
Inawezekana kipindi akisema hayo ndivyo ilivyokuwa, inawezekana pia sasa nhivi kuna tofauti ndo maana na yeye yumo mumo!

Biashara yoyote, ikiwemo hii ya matangazo hutegemea umakini wa mwekezaji ili iweze kukua!!
 
Hapo alizungumzia Clouds Tv nayeye yupo Clouds Radio,hivyo basi mpaka leo bado yupo sahihi.
 
Siyo kama nyie huko maofisini mnaogopa kumwambia boss wenu ukweli hata kama kafanya kitu cha kipuuzi...
 
Wadau,

Leo nimeona tujikumbushe na suala hili, moja ya kumbukumbu ni kwamba mchora katuni maarufu Masoud Kipanya siku Clouds TV wanafanya sherehe ya kuanza kuonekana DSTV, aliwaponda kupitia ukurasa wake wa facebook kwamba hawana kipindi chochote cha maana, ukishaangalia taarifa ya habari ndo basi tena

[HASHTAG]#Sasa[/HASHTAG] kaajiriwa na hao hao wenye vipindi vya ovyo
Yule clouds media walimfuata na akawapa terms zake nao walikubali acha apige pesa .
 
kwanza weka ushahidi wa picha bila hivyo huu tutauita ni udaku tu
pili acha kufukua makabuli mkuu hujui kwamba yaliyopita si ndwele?
 
Hakuna cha "Yaliyopita" kuna watu wamekuwa ni magwiji wa unafiki mpaka wanakera
 
Wadau,

Leo nimeona tujikumbushe na suala hili, moja ya kumbukumbu ni kwamba mchora katuni maarufu Masoud Kipanya siku Clouds TV wanafanya sherehe ya kuanza kuonekana DSTV, aliwaponda kupitia ukurasa wake wa facebook kwamba hawana kipindi chochote cha maana, ukishaangalia taarifa ya habari ndo basi tena

[HASHTAG]#Sasa[/HASHTAG] kaajiriwa na hao hao wenye vipindi vya ovyo

We ulitakaje kwa mfano unataka tufanyeje yaani mbona kama umeishia njiani husemi unataka nini?..
 
Ni kweli. Mange na Gwajima wamesema ni Bavicha gani wa kubisha ?
Unaambiwa weka ushahidi umeanza kuleta maneno ya kwenye kanga!
Kama umeshindwa kuweka ushahidi nenda kaungane na akina mama kupiga udaku wako
 
Back
Top Bottom