TBT: Jinsi nilivyotumia maburungutu ya pesa ya kigeni isiyo na thamani kuzuzua mabinti

Mkuu usidhani 2011 ni sawa na 2021, siku hizi karibu vitu vingi waweza pata jibunlake kupitia internet, Enzi hizo kupata tu huduma ya net ilibidi uende mjini na uwe mtaalam kidogo wa kutumia computer, alieniuzia aliniambia itakuwa ya china ila sikuona herufi za kichina yoyote

Huko nilishaendaga, sehemu hizo wanaziita Bureau de Change, ilikuwepo moja tu ninayoijua enzi hizo mkoa naoishi, usifikiri kila pesa wanabadilisha, kuna ubao huwa wanaandika fedha wanazobadili mfano dollar, euro, pound na nchi za majirani kama kenya, uganda, zambia, n.k. niliwapelekea ila jitihada ziligonga mwamba.

Sikuwa na ghetto ila nilikuwa na connections zangu za kunipa masaa kadhaa kufanya yangu kwa uhuru, bila connections mambo mengi utasota, Enzi hizo nina connection ya kupata hata gari ya kupigia misele kama nina elf 5 ya kujazia mafuta na hapo sikuwa hata na leseni.

Tatizo la Watanzania mna ile hali ya wivu πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu wivu wenyewe ni kwenye mambo ya kitoto huko enzi tunaingia 20s,
Mkuu 2011 nimemaliza chuo pia tena wakati huo naishi mikoa ya pembezoni mwa Tanzania

Kusema hakukuwa na internet ni uongo, Mie nimetumia tumia ukiachana na za watu binafsi nilikuwa natumia za shirika la posta.

labda tuanzia hapa fm 6 umemalizia mkoa gani?

maana mimi niko mkoani, nilikuwa natimba benki nikipata hela imechanika. Nikipata hela kwenye makoti ya mtumba (kama la faisal ) naenda benki sasa ww form. 6 uwe na burungutu la hela ushindwe enda benki kuuliza
 
Maswali hata hayana msingi wowote
Mkuu huo watoto wa mama tu kwa jinsi alivyouliza maswali unaona kabisa jinsi anavyoanika ujinga wake hadharani, yani mtu akupe burungutu alafu wewe ndio ujifanye mjanja kudhani kwamba hayo maburungutu yana thamani ?? πŸ˜‚πŸ˜‚ alafu jamaa inaonekana hata mambo ya connections za masaa kadhaa kwenye mageto ya washkjaji hayajui kabisa, πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu jamaa anatulisha matango pori huyu heti hajui hata ya5ikuwa manoti ya nchi gani hahaaa!
usidhani hio 2011 internet ilikuwa rahisi kuipata kama sasa, mtu alieniuzia nae alinidanganya ya china ila hakukuwa na herufi za kichina
 
Mkuu 2011 nimemaliza chuo pia tena wakati huo naishi mikoa ya pembezoni mwa Tanzania

Kusema hakukuwa na internet ni uongo, Mie nimetumia tumia ukiachana na za watu binafsi nilikuwa natumia za shirika la posta.

labda tuanzia hapa fm 6 umemalizia mkoa gani?

maana mimi niko mkoani, nilikuwa natimba benki nikipata hela imechanika. Nikipata hela kwenye makoti ya mtumba (kama la faisal ) naenda benki sasa ww form. 6 uwe na burungutu la hela ushindwe enda benki kuuliza
πŸ˜‚πŸ˜‚ mtu umpe elf 14 akuletee burungutu la hela alafu wewe ndio ujione una akili kudhani kwamba itakuwa na thamani πŸ˜‚πŸ˜‚ form 6 hapo nishajifunza mambo ya depression, money supply, n.k yanavyoweza kufanya mtu ununue mkate kwa bilioni 1, nlikuwa nishaelimika mkuu, sio kama wewe ukiona tu burungutu unadhani lina thamani, inaelekea. ama kweli mtu anaweza kuwa na cheti cha form 6 na degree kama wewe ila bado hajaelimikaπŸ˜‚πŸ˜‚

Yote kwa yote sikujihangaisha sana hii ishu, Maana lengo la kununua hizo pesa ambazo hata sijui kama zilikuwa feki, lengo lilikuwa sio kuwa speculator, arbotragor, n.k
 
usidhani hio 2011 internet ilikuwa rahisi kuipata kama sasa, mtu alieniuzia nae alinidanganya ya china ila hakukuwa na herufi za kichina
Sasa kama 2011 huwez pata intanet bando wajifanya mjuaji hapa

Tena fm 6 hata kupata intanet shida ama unahisi 2011 n mbali sana si juzi Kati hapa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ mtu umpe elf 14 akuletee burungutu la hela alafu wewe ndio ujione una akili kudhani kwamba itakuwa na thamani πŸ˜‚πŸ˜‚ form 6 hapo nishajifunza mambo ya depression, money supply, n.k yanavyoweza kufanya mtu ununue mkate kwa bilioni 1, nlikuwa nishaelimika mkuu, sio kama wewe ukiona tu burungutu unadhani lina thamani, inaelekea. ama kweli mtu anaweza kuwa na cheti cha form 6 na degree kama wewe ila bado hajaelimikaπŸ˜‚πŸ˜‚

Yote kwa yote sikujihangaisha sana hii ishu, Maana lengo la kununua hizo pesa ambazo hata sijui kama zilikuwa feki, lengo lilikuwa sio kuwa speculator, arbotragor, n.k
Burungutu hujui hata pesa za nchi gani Bado unasema halina thamani

Kununua kwa elfu 14 hakuondoi thamani yawezekana muuzaji mwenyewe bashite ka wewe ajawahi hata enda benki

Kama 2011 hukuwa unaipata net kwa urahisi unabaki kuwa bashite wa karne kijana na stori y'ako ya la 3B
 
Cha msingi lengo langu lilitimia mkuu, nlifanikiwa kuwanasa walimbwende kwa kutumia akili yangu :cool::cool:

Hayo mambo mengine ya hedging, speculation na arbitrage hayakuwa kwenye mipango yangu.
 
Cha msingi lengo langu lilitimia mkuu, nlinikiwa kuwanasa walimbwende kwa kutumia akili yangu :cool::cool:

Hayo mambo mengine ya hedging, speculation na arbitrage hayakuwa kwenye mipango yangu.
Nacho furahi umesha ona ubwege wako ulipo mkuu

Kama Hadi 2011, ulikuwa wapata net kwa machale ww huna tofauti na swami ya washamba wa mji
 
Burungutu hujui hata pesa za nchi gani Bado unasema halina thamani

Kununua kwa elfu 14 hakuondoi thamani yawezekana muuzaji mwenyewe bashite ka wewe ajawahi hata enda benki
Watu tulioelimika hatunaga haja ya kufatilia sana haya mambo, hii ni zimbabwe, kununua tu mkate ilikuwa ishu

1634907426570.png

Kama 2011 hukuwa unaipata net kwa urahisi unabaki kuwa bashite wa karne kijana na stori y'ako ya la 3B
Wewe tukana kivyoyvyote tu mkuu πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
2011 internet ikuwepo bwana. Mi nakumbuka nikianza kutumia internet kabla ya mwaka huo na nakumbuka internet cafe zangu pendwa zikuwa ni maeneo ya kituo Cha kwanza kabla hujafika Mlimani City ikitokea Ubungo, then UDSM walikuwa na internet cafe yao na Magomeni hapa alipo Ras Simba
 
Kama Hadi 2011, ulikuwa wapata net kwa machale ww huna tofauti na swami ya washamba wa mji
Kwa taarifa yako tu mkuu, mimi nimeanza kutengeneza websites mwaka 2009 wakati naingia form 5 nilikuwa naweza kutengeneza websites za html, kuziremba kwa css, na kwa mbali kidogo kuziwekea manjonjo ya java script, kama ni computer nimeanza utumia windows 95 nikiwa na miaka 10 mwaka 2001, nina channel yangu maarufu tu huko youtube ina videos za bongo flava za 2002 hadi 2006, hapo kipindi hicho bro wangu alikuwa anasafirisha hard disk inakwenda dar, anajaziwa miziki, videos, pilau, games, windows, n.k alafu wanamrudishia kwa basi, ikifika huku tunachomea watu cd za mp3, vcd, n.k kabla hata deki za dvd hazijafika huku. huwezi niambia chchote kuhusu computer mkuu.

Huku Jf kwa taarifa yako ilikuwa inaitwa Jambo forums, Nilikuwa na ID humu ndani enzi hizo na nilikuwa napenda sana kutembelea jukwaa la tech wakiwamo kina manguli kama kina e2themiza kabla hata kina chief mkwawa hawapo humu.

unampa mtu elf 14 unaletewa burungutu uanze kudhani kwamba ina thamani?? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ mtu mwenyewe anaekupa maisha yake anayaendesha kwa kununua hizi hela, acha dharau aisee πŸ˜‚ πŸ˜‚

Usione mtu kaongelea jambo flani kwa mbali ukadhani halijui, niliamua ku stick na maada tu.
 
2011 internet ikuwepo bwana. Mi nakumbuka nikianza kutumia internet kabla ya mwaka huo na nakumbuka internet cafe zangu pendwa zikuwa ni maeneo ya kituo Cha kwanza kabla hujafika Mlimani City ikitokea Ubungo, then UDSM walikuwa na internet cafe yao na Magomeni hapa alipo Ras Simba
Usione mtu kaongelea jambo flani kwa mbali ukadhani halijui, niliamua ku stick na maada tu.

unampa mtu elf 14 unaletewa burungutu uanze kudhani kwamba ina thamani?? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ mtu mwenyewe anaekupa maisha yake anayaendesha kwa kununua hizi hela, acha dharau aisee πŸ˜‚ πŸ˜‚

Kuhusu hayo mambo a internet nilikuwa zaidi ya mtaalam ila wala sikutaka kujisumbua na ndio maana sijalizungumzia sana hili swala ili nilenge zaidi maada kuu

Kwa taarifa yako tu mkuu, mimi nimeanza kutengeneza websites mwaka 2009 wakati naingia form 5 nilikuwa naweza kutengeneza websites za html, kuziremba kwa css, na kwa mbali kidogo kuziwekea manjonjo ya java script, kama ni computer nimeanza utumia windows 95 nikiwa na miaka 10 mwaka 2001, nina channel yangu maarufu tu huko youtube ina videos za bongo flava za 2002 hadi 2006, hapo kipindi hicho bro wangu alikuwa anasafirisha hard disk ikwenda dar, aajaziwa miziki, videos, games, n.k alafu wanamrudishia kwa basi, ikifika huku tunachomea watu cd za mp3, vcd, n.k kabla hata deki za dvd hazijafika huku. huwezi niambia chochote kuhusu computer mkuu.

Huku Jf kwa taarifa yako ilikuwa inaitwa Jambo forums, Nilikuwa na ID humu ndani enzi hizo na nilikuwa napenda sana kutembelea jukwaa la tech wakiwamo kina manguli kama kina e2themiza kabla hata kina chief mkwawa hawapo humu.
 
Usione mtu kaongelea jambo flani kwa mbali ukadhani halijui, niliamua ku stick na maada tu.

unampa mtu elf 14 unaletewa burungutu uanze kudhani kwamba ina thamani?? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ mtu mwenyewe anaekupa maisha yake anayaendesha kwa kununua hizi hela, acha dharau aisee πŸ˜‚ πŸ˜‚

Kuhusu hayo mambo a internet nilikuwa zaidi ya mtaalam ila wala sikutaka kujisumbua na ndio maana sijalizungumzia sana hili swala ili nilenge zaidi maada kuu

Kwa taarifa yako tu mkuu, mimi nimeanza kutengeneza websites mwaka 2009 wakati naingia form 5 nilikuwa naweza kutengeneza websites za html, kuziremba kwa css, na kwa mbali kidogo kuziwekea manjonjo ya java script, kama ni computer nimeanza utumia windows 95 nikiwa na miaka 10 mwaka 2001, nina channel yangu maarufu tu huko youtube ina videos za bongo flava za 2002 hadi 2006, hapo kipindi hicho bro wangu alikuwa anasafirisha hard disk ikwenda dar, aajaziwa miziki, videos, games, n.k alafu wanamrudishia kwa basi, ikifika huku tunachomea watu cd za mp3, vcd, n.k kabla hata deki za dvd hazijafika huku. huwezi niambia chochote kuhusu computer mkuu.

Huku Jf kwa taarifa yako ilikuwa inaitwa Jambo forums, Nilikuwa na ID humu ndani enzi hizo na nilikuwa napenda sana kutembelea jukwaa la tech wakiwamo kina manguli kama kina e2themiza kabla hata kina chief mkwawa hawapo humu.
Bwana wee endelea na mishe zingine, achana na wajuaji.
 
Back
Top Bottom