TBS yashauri watumiaji Poda za Johnson & Johnson kusitisha kwa muda

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,117
GettyImages-1242671905-e1680690668664.jpg

Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Athuman Ngenya amesema uamuzi huo unafuatia uwepo wa taarifa kuhusu Poda hususani za Watoto kuhusishwa na Saratani.

Dkt. Ngenya ameongeza kuwa Poda zilizopo sokoni Tanzania kwa sasa zinatoka Afrika Kusini na tayari #TBS imewasiliana na Mamlaka za huko ili kufahamu kama ni toleo linalohusishwa Saratani.

Kampuni ya Johnson & Johnson hivi karibuni imekiri kuwa itawajibika kuwalipa Tsh. Trilioni 20.8 waathirika zaidi 60,000 waliodai kupata Saratani baada ya kutumia moja ya toleo la Poda zake.

================

Johnson & Johnson said it agreed to pay $8.9 billion to resolve all cancer lawsuits tied to its talc-based powders and will make a fresh attempt to contain the liability within a bankruptcy filing by one of its units.

The world’s largest maker of health-care products hopes to settle complaints from about 60,000 claimants and fund a trust set up in US bankruptcy court in Trenton, New Jersey, to cover future claims, the company said Tuesday in a securities filing. J&J has already withdrawn its talc-based baby powder and others, including Shower to Shower, from the market.

J&J’s LTL Management unit filed a new Chapter 11 case to provide a basis for the trust, which outlines terms for settling the decade-long litigation. An earlier filing, which didn’t include a settlement, was rejected in January after an appeals court found J&J erred in using bankruptcy to block juries from hearing lawsuits and handing out damage awards. J&J wants a reorganization plan for LTL that caps all the talc liability.

“Resolving this matter through the proposed reorganization plan is both more equitable and more efficient, allows claimants to be compensated in a timely manner,” Erik Haas, J&J’s world-wide head of litigation, said in a release. Monies in the settlement will be paid out over 25 years.

Shares of J&J were up 3% in pre-market trading in New York.

If enough victims agree to join the accord, J&J will be freed from defending against cancer claims tied to baby powder and others products tainted by asbestos. Juries ruled against the company in nearly a dozen such suits over the years — including one appealed all the way to the US Supreme Court — before J&J was forced to pay $2.5 billion to a group of 20 women whose case went to trial in 2018.

Traces of Asbestos
Women and men blamed J&J’s 129-year-old baby powder for causing ovarian cancer and mesothelioma, a cancer specifically tied to asbestos exposure. Victims allege internal J&J documents dating back to the early 1970s show workers warning managers about traces of asbestos found in talc bottled for baby powder. The victims contend J&J executives should have warned consumers about the powders’ health risks.
 
Hamna madhara yoyote, nilipojifungua nililetewa zawadi ya hiyo poda na sabuni yake, Kwa kweli sikupenda harufu yake nikavitupa.....Dogo amekuwa bila kupaka poda wala nini....ni mwendo wa futa la nazi tu.
Hata wangu wife hutumia mafuta ya nazi na sabuni organic
 
Kuna madhara yoyote anayoyapata mtoto ambaye hatumii poda?
Labda swali la kujiuliza ni nini faida ya poda na alternative ni zipi, sababu unaweza kuishi bila hata sabuni wala kujipaka mafuta let alone poda
 
Hawa jamaa hua wanapima viwango vya ubora wa bidhaa zote zinazoingia nchini au ni Kwa baadhi ya bidhaa wanazojisikia kuzifanyia tathmin?

Kuna vitu vingi sana havihitaji hata utaalam wa vipimo kuonyesha vipo chini ya kiwango na Bado vimetapakaa Kwa walaji.

Utawasikia tu pale inapotokea mtafaruku nao watakuja kukanusha au kubariki jambo kisiasa.
 
Halafu hii ishu ni ya muda sana, hadi jamaa wamekubali kulipa fidia taarifa za madhara yake zilitoka mapema sana halafu wakakaa kimya, leo wanasikia huko watu wanalipa fidia ndo wanajifanya nao kuzuia, sidhani kama wanazipima hizo bidhaa bali wanafata upepo tu
 
Daaah

Sasa kama kampuni kubwa kama hiyo inabolonga hivyo hizi ndogo jee? Kweli mwanadamu hayupo kamili, ful kukosea
 
Hii issue ya hizi poda imekuwa ikisikika muda sana ila huwa tunasubiri mpaka ngozi nyeupe wapige mstari mwekundu ndio na sisi tujitutumue.
 
Halafu hii ishu ni ya muda sana, hadi jamaa wamekubali kulipa fidia taarifa za madhara yake zilitoka mapema sana halafu wakakaa kimya, leo wanasikia huko watu wanalipa fidia ndo wanajifanya nao kuzuia, sidhani kama wanazipima hizo bidhaa bali wanafata upepo tu
Tbs wanafata upepo tu

Hawapimi lolote

Ova
 
Hata kwenye chanjo yao hao J&J itakuwa ni suala la muda tu.
 
GettyImages-1242671905-e1680690668664.jpg

Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Athuman Ngenya amesema uamuzi huo unafuatia uwepo wa taarifa kuhusu Poda hususani za Watoto kuhusishwa na Saratani.

Dkt. Ngenya ameongeza kuwa Poda zilizopo sokoni Tanzania kwa sasa zinatoka Afrika Kusini na tayari #TBS imewasiliana na Mamlaka za huko ili kufahamu kama ni toleo linalohusishwa Saratani.

Kampuni ya Johnson & Johnson hivi karibuni imekiri kuwa itawajibika kuwalipa Tsh. Trilioni 20.8 waathirika zaidi 60,000 waliodai kupata Saratani baada ya kutumia moja ya toleo la Poda zake.

View attachment 2579292
================

Johnson & Johnson said it agreed to pay $8.9 billion to resolve all cancer lawsuits tied to its talc-based powders and will make a fresh attempt to contain the liability within a bankruptcy filing by one of its units.

The world’s largest maker of health-care products hopes to settle complaints from about 60,000 claimants and fund a trust set up in US bankruptcy court in Trenton, New Jersey, to cover future claims, the company said Tuesday in a securities filing. J&J has already withdrawn its talc-based baby powder and others, including Shower to Shower, from the market.

J&J’s LTL Management unit filed a new Chapter 11 case to provide a basis for the trust, which outlines terms for settling the decade-long litigation. An earlier filing, which didn’t include a settlement, was rejected in January after an appeals court found J&J erred in using bankruptcy to block juries from hearing lawsuits and handing out damage awards. J&J wants a reorganization plan for LTL that caps all the talc liability.

“Resolving this matter through the proposed reorganization plan is both more equitable and more efficient, allows claimants to be compensated in a timely manner,” Erik Haas, J&J’s world-wide head of litigation, said in a release. Monies in the settlement will be paid out over 25 years.

Shares of J&J were up 3% in pre-market trading in New York.

If enough victims agree to join the accord, J&J will be freed from defending against cancer claims tied to baby powder and others products tainted by asbestos. Juries ruled against the company in nearly a dozen such suits over the years — including one appealed all the way to the US Supreme Court — before J&J was forced to pay $2.5 billion to a group of 20 women whose case went to trial in 2018.

Traces of Asbestos
Women and men blamed J&J’s 129-year-old baby powder for causing ovarian cancer and mesothelioma, a cancer specifically tied to asbestos exposure. Victims allege internal J&J documents dating back to the early 1970s show workers warning managers about traces of asbestos found in talc bottled for baby powder. The victims contend J&J executives should have warned consumers about the powders’ health risks.
Wanasitisha baada ya kuona mtandaoni. Wao ilikuwa kazi twende tu
 
Back
Top Bottom