TBS (Tanzania Bureau of Standard) vs TPDC (Tanzania Petroleum Development Coorperation)

Basegeta

Senior Member
Jun 20, 2013
110
9
Jamaani naombeni ushauri:
Nimepata kazi ktk taasisi zote mbili ambapo nitatakiwa kuriporti siku moja sehemu zote mbili na nitapewa mikataba na barua za kazi siku ya kuriporti...

ni wapi pazuri jamani..
 
Jamaani naombeni ushauri: Nimepata kazi ktk taasisi zote mbili ambapo nitatakiwa kuriporti siku moja sehemu zote mbili na nitapewa mikataba na barua za kazi siku ya kuriporti... ni wapi pazuri jamani..
Nenda TPDC huko ndiko utapata fulsa ya kujiendeleza kirahisi, ukitaka usote nenda TBS.
 
Kijana unafananisha Petroleum na Blah Blah acha kabisa.
TPDC ndo mpango mzima ila kama unapenda rushwa za apa na pale na pia kibarua kuota nyasi baada ya mda mfupi nenda TBS
 
kuna mdau kauliza swali hapa .. post gani umechagulia..?

ila kimtazamo tpdc wanakuja juu ni sehemu nzuri baada ya muda si mrefu...
nenda tpdc tu ndugu
 
Watu wanatafuta kazi wengine mnapata mbili gingers sana, lazima utakuwa was dini flani soon bure
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom