TBS na wengine mnaosimamia madawa mko wapi?

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,664
22,256
Tangu Corona iingie nchini bado hakuna mwongozo wa viwango vya vifaa, madawa na matumizi sahihi ya kudhibiti Corona toka TBS na wasimamizi wengine wa madawa, taarifa nyingi za kutatanisha zinatolewa na wanasiasa na madakitari baadhi zikiwa sahihi na nyingine si sahihi.

Mwongozo wenu utatuondolea wananchi kununua vifaa, dawa na matumizi yake yasiyo na faida kwetu.
 
Back
Top Bottom