TBS na TFDA, mmesikia Kenya walivyofungia unga wa mahindi?

Kenya wamefungia aina tano za unga wa mahindi maarufu kama Unga wa Ugali uliogundulika kuwa na kemikali za sumu zinazotokana na Afloxacin zinahusishwa na uletaji wa magonjwa hatari kama kansa kwa binadamu endapo atatumia unga wa ugali kwa matumizi ya chakula.

Hapa kwetu wajasiriamali wengi wananunua mahindi na kusaga na ku-pack kwenye viloba tayari kwa kuuza. Ukiingia ukanda wa Mlandizi, Kibaha small private milling zimesheheni. Je, kote huku TBS wanafika? Inspection yao ikoje pia kwenye soko ambako walaji tunanunua unga na kwenda kuutumia?

Chonde chonde, toeni tamko ikiwezekana inspection na verification ipanuke zaidi Tanzania nzima.
Nimeona bandiko sio mahindi pekee.... Hata peanut butter....

....... DANGEROUS LEVELS

It shows how Kenyans have for decades been exposed to dangerous levels of aflatoxins in maize and maize products, and links some cancer ailments in various parts of the country to this abetting of a wrong by State agencies. Other contaminated foods include meat and meat products, and peanuts.

Last week Kebs suspended seven peanut butter brands and instructed the manufacturers to discontinue production and recall stocks that had already been supplied for sale. The seven were True Nuts, Fressy, Supa Meal, Nuteez, Sue's Naturals, Zesta, and Nutty by Nature. Aflatoxins are produced by fungi and grow on grains that are not dried or stored in proper conditions. They thrive in warm and moist conditions.

When one consumes food contaminated with the fungi, the aflatoxin is incorporated into the DNA to form complexes that colonise the liver, leading to the development of mutations that later manifest as cancer.......

Kenya wamefungia aina tano za unga wa mahindi maarufu kama Unga wa Ugali uliogundulika kuwa na kemikali za sumu zinazotokana na Afloxacin zinahusishwa na uletaji wa magonjwa hatari kama kansa kwa binadamu endapo atatumia unga wa ugali kwa matumizi ya chakula.

Hapa kwetu wajasiriamali wengi wananunua mahindi na kusaga na ku-pack kwenye viloba tayari kwa kuuza. Ukiingia ukanda wa Mlandizi, Kibaha small private milling zimesheheni. Je, kote huku TBS wanafika? Inspection yao ikoje pia kwenye soko ambako walaji tunanunua unga na kwenda kuutumia?

Chonde chonde, toeni tamko ikiwezekana inspection na verification ipanuke zaidi Tanzania nzima.
Kijijini kila familia inapeleka mahindi mashineni kusaga; hakuna ununuzi wa unga na hakuna wagonjwa wa cancer; wagonjwa wa cancer tuko nao huku mijini
 
Una hoja nzuri sana, binafsi huwa nashangaa sana unakuta taasisi fulani moja wapo wa majukumu yao ni kuzunguka katika viwanda vya chakula na dawa lakni hawafanyi hivyo kutwa kukaa ofisini wanakula viyoyozi tu wakati watanzania wanateseka kwa kupata kansa inayosababishwa na nafaka tunazozitumia kama chakula.

Bado naona watanzania hawana elimu ya kutosha kuhusiana na food intoxication, hiyo sumu ya aflatoxin ni miongoni mwa sumu mbaya sana sema tu ndio hivyo, semina za uelimishaji hakuna kwa wananchi.
 
Hata mm nimeona jana citizen wananchi hawaelewi kitu..wanasema watakula
Lack of awareness inawasumbua sana watanzania, sidhani hata hiyo elimu bure inawasaidia sasa sijui huko shuleni hawa wanafunzi wanafundishwa nini?? Hii sumu mara nyingi hushambulia sana INI maana ndio targeted organ na damu na inapatikana hasa katika jamii ya kunde haya maharahge ya soya beans na mahindi.

Wamama jamani tujitahidi tunapoenda sokoni tumeupke kununua mahindi yaliyoharibika au yenye viashiria vya rangi ya kijanijani ili kuzilinda familia zetu
 
Kenya wamefungia aina tano za unga wa mahindi maarufu kama Unga wa Ugali uliogundulika kuwa na kemikali za sumu zinazotokana na Afloxacin zinahusishwa na uletaji wa magonjwa hatari kama kansa kwa binadamu endapo atatumia unga wa ugali kwa matumizi ya chakula.

Hapa kwetu wajasiriamali wengi wananunua mahindi na kusaga na ku-pack kwenye viloba tayari kwa kuuza. Ukiingia ukanda wa Mlandizi, Kibaha small private milling zimesheheni. Je, kote huku TBS wanafika? Inspection yao ikoje pia kwenye soko ambako walaji tunanunua unga na kwenda kuutumia?

Chonde chonde, toeni tamko ikiwezekana inspection na verification ipanuke zaidi Tanzania nzima.
Kenya wameshafunguliwa baaba ya kufanya utafidi viwanda vinavyosaga nafaka. Je Tanzania ina mpango gani kuvikagua viwanda vinavyosaga nafaka? Kwa kupitia TFDA na TBS?
 
Aisee hii kitu nlishawahi kuhoji kwenye mashine moja ambapo naendaga kuchukua pure dona. Nliwauliza kuwa kabla ya kusaga haya mahindi, kuna kuyasafisha kokote kunakofanyika?

Kirahisi tu jamaa akanambia aaaaaah, kwan dawa zake ni kwa ajili ya binadamu basi? Ni kwajili ya kufukuza wadudu tuu.Tunachofanya apa ni kuchukua mahindi kwenye gunia na kutia mashineni. Nlijiona mshamba sana siku ile, maana mimi nakulaga dona original hakuna kuparaza mahindi. Hawa watu ni wauwaji.
Daah
 
Ukiona ubora wa vyakula unavyochezewa utashangaa;

1. Kuna mtu anapata supply ya maziwa kila siku kwa mwaka mzima na hajiulizi ng'ombe haachi kukamuliwa lini wakati wa sindano

2. Mbogamboga na matunda tunayokula yanapigwa dawa kwa wingi tena wakati mwingine siku tatu kabla ya kuvunwa. Case kama ya mchicha wa bonde la msimbazi

3. Kuku wa Kisasa wanaondaliwa bila kujali viwango

4. Maeneo yenye hali nzuri ya hewa kwa kilimo kutumia kiwango kikubwa cha viuatilifu na mbolea. Rejea mchele wa Kyela ambao siku hizi ukipika hata harufu haivuki kwa jirani

Mimi nimefanya maamuzi ya kutokula kabisa!!!
 
Hili la mchele wa Kyela nilikuwa sijalishtukia

Siku hizi watu wakipika wali Wala hatujui

Tunakula Sana sumu siku hizi

Mungu tusaidie
 
Warumi : Mlango 8
13 kwa maana kama tukiishi kwa kufuata mambo ya mwili, mwataka kufa; bali kama mkiyafisha matendo ya mwili kwa Roho, mtaishi.
Hata huyo mrumi pamoja na kuandika hayo yote mwisho wa siku alikufa!!
 
Kenya huwa wanapata mara kwa mara shida ya aflatoxin kwenye mahindi hadi wanapata cases za acute intoxication, mfano mwaka 2004 karibia watu 300 walilazwa na at least 24 walifariki kutokana na kula ugali wa mahindi wenye kiwango kikubwa cha aflatoxin. Ni vizuri kupima viwango vya aflatoxin kwenye unga wa mahindi hasa dona kabla ya kuingizwa sokoni.
 
Ukiona ubora wa vyakula unavyochezewa utashangaa;

1. Kuna mtu anapata supply ya maziwa kila siku kwa mwaka mzima na hajiulizi ng'ombe haachi kukamuliwa lini wakati wa sindano

2. Mbogamboga na matunda tunayokula yanapigwa dawa kwa wingi tena wakati mwingine siku tatu kabla ya kuvunwa. Case kama ya mchicha wa bonde la msimbazi

3. Kuku wa Kisasa wanaondaliwa bila kujali viwango

4. Maeneo yenye hali nzuri ya hewa kwa kilimo kutumia kiwango kikubwa cha viuatilifu na mbolea. Rejea mchele wa Kyela ambao siku hizi ukipika hata harufu haivuki kwa jirani

Mimi nimefanya maamuzi ya kutokula kabisa!!!
 
Lack of awareness inawasumbua sana watanzania, sidhani hata hiyo elimu bure inawasaidia sasa sijui huko shuleni hawa wanafunzi wanafundishwa nini?? Hii sumu mara nyingi hushambulia sana INI maana ndio targeted organ na damu na inapatikana hasa katika jamii ya kunde haya maharahge ya soya beans na mahindi.

Wamama jamani tujitahidi tunapoenda sokoni tumeupke kununua mahindi yaliyoharibika au yenye viashiria vya rangi ya kijanijani ili kuzilinda familia zetu
Tuwekee utafiti unaothibtisha vyakula vya jamii ya kunde kama maharage ya soya uliyotaja, ukiachilia mbali karanga yanaweza kuwa na viwango vikubwa vya aflatoxin. Msiwe mnaweka vitu vya kuwapotosha watu humu ili mradi mwonekane na nyie mmechangia.
 
Hili la mchele wa Kyela nilikuwa sijalishtukia

Siku hizi watu wakipika wali Wala hatujui

Tunakula Sana sumu siku hizi

Mungu tusaidie
Mkuu tatizo sio mchele wa kyela mimi naona uwezo wa kunusa umepungua!!
 
Back
Top Bottom