Sandiego
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 1,289
- 2,076
Maharage kama yana sumu basi mimi ndio ntafia hapo hapo!!!Tuwekee utafiti unaothibtisha vyakula vya jamii ya kunde kama maharage ya soya uliyotaja, ukiachilia mbali karanga yanaweza kuwa na viwango vikubwa vya aflatoxin. Msiwe mnaweka vitu vya kuwapotosha watu humu ili mradi mwonekane na nyie mmechangia.