Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,314
- 24,173
Tangazo la TBS lililotolewa majuzi, ati sasa ukaguzi wa magari used utafanyika hapahapa Bandarini linatia wasiwasi.
Huu utaratibu ulikuwepo zamani na uliondolewa kutokana na urasimu wake na uchelewashaji mkubwa wa kukaguliwa mali ya mteja.
Tukubali tusikubali palipo na urasimu na ucheleweshaji hapo tunakaribisha rushwa tu.
Gari lililokaguliwa Japan (na tunawafahamu wa Japan JAAI kwa umakini na weledi), halafu likaguliwe tena na TBS, mantiki ya uamuzi huo hauingii akilini.
TBS ni shirika la Umma, na tunaujua utendaji wake.
Kutoa vibali tu vya ukaguzi wa bidhaa za viwandani inachukua hadi miezi sita.
Kwa hili TBS, NO!
Pia soma>

TBS: Kuanzia 01 Machi 2021, utaratibu wa kukagua magari kutoka nje ya nchi, utafanyikia hapa nchini
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawataarifu waagizaji na wauzaji wa magari kutoka nje ya nchi kuwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021, utaratibu wa kukagua magarikutoka nje ya nchi utafanyika baada ya kuwasili hapa nchini (Destination Inspection). Hivyo,magari yote yatakayosafirishwa...
www.jamiiforums.com