SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,030
Wakuu mie naona kesi za watumiaji wa hii mitungi zinazidi kutokea hapa nchini, kabla sijaendelea na maoni yangu Nataka kufuta dhana kwamba watumiaji ndio chanzo cha mitungi hiyo kulipuka Bali nadhani mitungi ndio sababu.
Leo John Walker anatutoka chanzo ikiwa ni hii mitungi,John Walker n maarufu vipi huko uswahilini kesi ngap za milipuko ya mitungi hii inaripotiwa.
TBS nadhani ni Wakati wenu kuchunguza hii mitungi na kujiridhisha, maana katika hii mitungi sijawahi kuona nembo yenu kudhibitisha kama INA ubora.
Nawaomba mnahousika mfatilie kabla hayatokea madhara makubwa zaidi kutokana na hii mitungi.