TBL yaungua moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBL yaungua moto

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Jafar, Jul 29, 2009.

 1. J

  Jafar JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2009
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Usiku wa mwanzo wa siku ya leo (29 july) saa 7 usiku (01:00 am) moto mkubwa ulizuka ndani ya kiwanda cha bia (TBL) na kuteketeza masanduku matupu ya bia (yaani shells with bottles) yote yaliyokuwa yamepangwa hapo ndani. shukrani kwa wafanyakazi na makampuni binafsi ya Night Support kwa kusaidia kuuzima moto usilete madhira makubwa.

  Mitambo ya kuzalishia bia imesalimika.

  Ninazo picha kiasi lakini sijui jinsi ya kuzitungika humu (nipeni shule)


  [​IMG]

  [​IMG]  [​IMG]  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]
  [​IMG]
   
Loading...