Tbl Yatoa Udhamini Kwa Simba Na Yanga

Balantanda

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
12,476
4,752
Kampuni ya bia Tanzania(TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro imetoa udhamini kwa timu mbili maarufu za SIMBA na YANGA...Udhamini huo ni wa miaka mitatuambapo kila mwaka katika kipindi cha miaka mitatu kila timu itapatiwa Tshs.millioni 654 kwa ajili ya uendeshaji wa klabu,mishaara ya wachezaji na viongozi wanaoambatana na timu,usafiri wa timu,vifaa vya mazoezi,matangazo nk
 
Hivi jamani Simba na Yanga mpaka lini????,why not Mtibwa Sugar,Moro UTD,Villa Squad,Polisi Dom,Prisons au timu nyingine zaidi ya timu hizo mbili ambazo hazisaidii lolote ktk kukuza soka la Bongo,,,halafu mbona tayari Yanga wanaye Manji!!!!!TBL wateja wao wakubwa wako mikoani so wajitahidi kuzisaidia na timu za mikoani pia ambazo zinahitaji wadhamini kwa udi na uvumba....makampuni yajaribu kubadilika na kuziangalia timu za mikoani pia
 
Migogoro itaanza ibuka upyaa, ni kama ruzuku kwenye vyama vya siasa!!
 
Migogoroxxxxx
Simba na Yanga...hakuna manufaa kwa soka la bongo.
Nawapongeza sana Azam kwa kuanzisha timu na kuifikisha ligi kuu!
 
Hivi jamani Simba na Yanga mpaka lini????,why not Mtibwa Sugar,Moro UTD,Villa Squad,Polisi Dom,Prisons au timu nyingine zaidi ya timu hizo mbili ambazo hazisaidii lolote ktk kukuza soka la Bongo,,,halafu mbona tayari Yanga wanaye Manji!!!!!TBL wateja wao wakubwa wako mikoani so wajitahidi kuzisaidia na timu za mikoani pia ambazo zinahitaji wadhamini kwa udi na uvumba....makampuni yajaribu kubadilika na kuziangalia timu za mikoani pia

Hivi serikari inamiliki hisa kiasi gani kwenye kampuni ya bia????.
 
Wanadhani wanainua soka kumbe wanaua soka tatizo lililopo hapa nchini kwetu inaelekea Simba naYanga ni kama dini mbili ambazo zinaabudiwa mno hapa utakuta hadi viongozi wa nchi wana mapenzi ya klabu hizo mbili ,wachezaji wa timu za mpira hapa nyumbani na viongozi wa michezo. Na hii pia ni sababu kubwa ya TANZANIA kuitwa kichwa cha mwendawazimu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom