TBL pekee inalipa kodi ya sh bilioni 500 kwa mwaka ambayo ni sawa na 2% ya pato la taifa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,778
141,662
Mkurugenzi wa TBK Mr Phillip Redman amesema kampuni yake ya Bia inalipa hadi sh bilioni 509 kwa mwaka kama kodi kwa serikali.
Phillip amesema kiasi hicho ni sawa na 2% ya pato la taifa hivyo wanajivunia mchango wao huo kwa taifa.

Kadhalika TBL wanatoa ajira kwa maelfu ya watanzania pia ndio wanunuzi wakuu wa shairi inayolimwa mikoa ya kaskazini mwa Tanzania.

Source EATV

Maendeleo hayana vyama!
 
Aisee cheers, wacha niende zangu nikapunguze stress maana tbl ndo wafariji wetu sisi wanywaji ole wake Sasa nisikie mtu ananisema huko kitaa wakati sisi ndo tunachangia 2% ya pato la taifa!
 
Sijui makampuni ya wine yanachangia asilimia ngapi ya mapato, maana najitahidi kuwachangia mapato balaa.
 
Back
Top Bottom