TBC1, why?

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Nipo naangalia kipindi cha bunge cha maswali na majibu,cha ajabu mh.kitandula ameonyeshwa lakini Mh.MGWAO hakuonyeshwa mwanzo mwisho.HII IMEKAJE WADAU?
 
kwani hiyo umeamuaje? Wewe ni gwanda? Mmezoea kulialia2 fikira mbadala hakuna
 
Mulisha ambiwa tbc sio chombo huru mvona hamuelewi?.
Angalia startv kama kama haishiki zima tv yako utafute kitu kingine cha kufanya. tbc watakuharibia siku bure. Mia
 
Back
Top Bottom