TBC1 watoa habari kwa kutegemea maoni ya wachangiaji kwenye JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC1 watoa habari kwa kutegemea maoni ya wachangiaji kwenye JF

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tuko, Jul 12, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Leo TBC waketoa habari ya mnajimu mkuu wa kambi ya upinzani akieleza kuwa alishaandika barua ya kutaka maelezo kwa shibuda.

  TBC walisema kuwa wameomba maelezo hayo kutokana na maoni ya watu wengi hasa kwenye mitandao kutaka shibuda afukuzwe uanachama. Wakati wanaeleza hayo ilionekana picha waliyoshoot kwenye laptop ambayo ilikuwa inadisplay ile thread ya kunusu matamshi ya Shibuda kwenye JF. Walivyoscroll down ilionekana kuwa ilikuwa inaruhusu replay, kumaanisha kuwa user alikuwa member wa JF.

  Hii inamaanisha kumbe hata maoni tunayotoa kuhusu TBC yanasomwa, ila sijui kama yanafanyiwa kazi.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  JF is larger than LIFE itself
   
 3. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Watakuja wengi tu hapa kwa maoni yanatolewa live na hayachakachuliwi
   
 4. K

  Kaseko Senior Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  jf ni mtandao unafikisha ujumbe kwa jamii husika ila nawashauli wanachama wenzangu tuwe tunatoa michango na hoja za msingi na zilizofanyiwa utafiti wa kina.
   
 5. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,240
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Nimeona inafurasha/inaleta changamoto!
   
 6. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mbona hata MJOMBA ni mwenzetu humu jamvini. Huwa wanakuja humu kuchukua hali ya kisiasa nchini na kupanga mikakati ya kuvua magamba.

  Masahihisho kidogo hapo kwenye red: ni mnadhimu siyo mnajimu.
  Tafsiri:
  Mnajimu: Mtu anayetabiri nyota za watu; mfano leo utagombana na watu, leo utapata bahati, leo vaa nguo nyeupe, n.k.
  Mnadhimu: Mnidhamishaji ama Mkuu wa masuala ya nidhamu katika jamii husika.
   
 7. g

  gkalunde Senior Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeona jamiiforam kiboko member tujitahidi kutoa michango isiyoacha maswali
   
 8. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hao wanafe tu ngoja al jazeera wanakuja kuwameza kama hawana mikakati
   
 9. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Welcome Al Jazeera swahili to TZ
   
 10. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu hizi habari ngeni kwangu. Hawa jamaa wanataka kuanzisha idhaa ya kiswahili? Itakuwa bomba sana maana hawa jamaa wanafunika mbaya!
   
 11. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  JF juu, juu ,juuuu zaidi!
   
 12. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 1,825
  Trophy Points: 280
  Duh nakata mwaka sasa sijaangalia TBC 1 na nipo hapa hapa nchini. Karibu sana Al Jazeera swahili tunakusubiri kwa hamu sana
   
 13. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jf inatisha
   
 14. zimmerman

  zimmerman JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 80
  Jana usiku wakati wa taarifa ya habari ya TBC, Jukwaa la Siasa la Jamii Forums lilirushwa live kwa watanzania wote. Ilikuwa ni wakati wa habari inayomhusu Shibuda kama ameshaandikiwa barua ya kujieleza kwa nini aliamua kukaidi maazimio ya chama kuhusiana na posho; na mbunge amabaye nafasi yake ni mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni,Tundu Lissu, akawa analifafanua.

  Sasa suala hapa si kuwa Jamii Forums, hasa Jukwaa la Siasa limepata umaarufu hadi kwenye vyombo vya habari vya kitaifa; mbona hata bungeni Jukwaa hili limeshatinga? Suala hapa ni kuwaweka attention wajumbe wa Forum hii na Jukwaa hili kwamba tuwe tunapima kile tunachokiandika humu maana comment yako au ya kwangu kuna uwezekano mkubwa ikawa inachukuliwa na umuhimu mkubwa na wasomaji huru, wasiofungamana na upande wowote kisiasa, kiuchumi hata kidini.

  Nina mantiki gani hapa? Nitajitolea mfano. Mwanzoni kabla sijajiunga na JF (Jamii Forums) nilikuwa tu napitapita kwenye mitandao ya kijamii kama uninterested reader baada ya kuwa nimechoka baada ya muda fulani wa kazi. Sasa kuna baadhi ya members hapa ambao huwa nadhani pengine siyo watanzania (wamarekani hivi au wamesoma ulaya - please forgive my racism) kwa jinsi ambavyo wana weledi wa uchambuzi wa masuala ya kijamii na kisiasa utadhani hawa hawajasoma bongo. Samahani kama ntawataja baadhi, Mzee Mwanakijiji, Lula Mwananzila, LAT na wengineo wengi. Wapo wengine pia tunaotofautiana fikra kama Malaria Sugu, lakini hapa mimi ninazungumzia uchambuzi wa mada, uwezo wa kutoa hoja kitaaluma na pengine upambaji wa hiyo hoja yako kifasihi na kisanaa ile isomeke na kupendeka kwa watu. Hivyo nikavutika nikajiunga. Nikawa member.

  Sasa ikiwa JF inaweza kuvuta hata hisia za TBC na bunge mpaka wakaona kuna umuhimu wa kutajwa kwanye program zao iwe kwa mtazamo hasi, chanya au vyovyote vile, itakuwaje iwapo juhudi za makusudi kuongeza viwango vya uchangiaji kwenye hili Jukwaa zitaongezwa? Si ndio hapa panaweza hata pakawa sehemu ya kutafuta sera mbadala kwa watawala wa serikali?

  Na katika kuchangia katika kulinda au kuongeza viwango vya hili jukwaa, napendekeza:

  - Kila mjumbe kuandika, iwe ni kuanzisha thread mpya au kuchangia mada kwenye thread, maoni yenye mantiki (uwe na data sahihi, usiandike umbea)
  - Kila mjumbe kujaribu kuwa objective katika uchangiaji (nakiri kwamba siipendi CCM naweza kushindwa katika hili, ila nitajitahidi), yaani, ufiche hisia zako useme ukweli -- mfano ikiwa wewe ni CHADEMA JK atakapofanya jambo zuri tumsifie hata kama ni mpinzani wako, hivyo hivyo kwa wana CCM inapokuwa ni CHADEMA yenye sera nzuri.
  - Kuandika pale inapobidi, si lazima kila siku uandike, au si lazima kuchangia katika kila mada.
  - na kadhalika.

  Asanteni.
   
 15. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  lilishatinga siku nyingi tu mbona
   
 16. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Mbona hata cabinet iliwahi kujadili kuhusu JF.
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Tujitahidi tuache matusi na lugha za chafu, tusije kuwa kama bunge la Tanzania...JF inapitiwa na watu wengi sana wenye nafasi tofauti tofauti
   
 18. zimmerman

  zimmerman JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 80
  Sikuwa ninafahamu mkuu. Asante.
   
 19. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  nina akili timamu siwezi kumsifia jk, hakutaka kukutana na wapiga kura wakati wa kampeni wamuulize maswali, katujazia makauli mbiu tu kwenye nchi yetu, kaigeuza kuwa nchi ya uzinduzi, katika watanzania 40m ngeleja na ma-agreco yake lazima awe waziri wa NICAB na madini, usije na pendekezo kwa namna yoyote eti turidhie kumsifu jk na chama chake, wakitenda vema ndiyo kutimiza wajibu huko, sifa za nini hapo? wakiboronga watoke kwa kujiuzulu au tuwawajibishe!!!!
   
 20. W

  WildCard JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Tujitahidi tu kuwa juu kidogo ya siasa za vyama, juu ya siasa za watu. Utaifa zaidi. Uzalendo zaidi.
   
Loading...