TBC1 waomba radhi kwa kukatika kwa Matangazo ya Bunge

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
TBC yaomba radhi kwa kukatika kwa matangazo ya bunge lakini hawajatoa sababu za kukatika kwa matangazo hayo.
 
hahaha vipi leo wameonyesha bunge maana wao wanaonyeshaga mambo wanayotaka mara nyingii na si shughuli za kutaifa
 
kidogo kidogo tutafikishwa kwenye udkteta
nafikiri nchi yetu itafanana na korea kasikanzini
 
Usanii tu huo, wameshapewa maelekezo mapema!!! hoja ya Zanzibar ni balaa tupu, ni XXXX, kuonekana kwa waliomo tu!
 
Usanii tu huo, wameshapewa maelekezo mapema!!! hoja ya Zanzibar ni balaa tupu, ni XXXX, kuonekana kwa waliomo tu!
kwa wenye akili tulishajua kuwa lazima haya yangetokea
wamejua kabisa wanzanzibar watajua haki zao za msingi ndio maana wamekata
 
Sijajua kama ni wamepewa amri au la, nilishangaa star tv ambao hawarushi kupitia tbc nao walikata matangazo muda huo huo!
 
Back
Top Bottom