TBC1 wameshindwa tatizo hili?

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,494
7,517
kipindi kirefu sasa kumekuwa na tatizo la picha kutoendane na sauti(kimoja kinachelewa) inaelekea wameshindwa kutatua tatizo hili au? je wadau mnaotumia decoder yao mnapata tatizo hilo au ni wale tu tunaotumia antena za kawaida?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom