TBC1 wamdhihaki Dk Slaa Mkutano wa Mabibo na wanavyuo ktk kipindi cha Fataki la wiki

Inatia uchungu kuona TBC aliyoijenga Tido Mhando kugeuka kuwa Kinyago. Mimi toka wamtose Tido sijaangalia TCB1. Jamani hata matangazo msipeleke huko tena wapeleke CCM na IKULU (Matangazo ya Mkopo)
 
Hata hawa ccm watumie tv au radio; na magazeti bado mimi nasema ccm ni mafisadi tu, kumbukeni wakati wa uchaguzi walitumia radio, tv, magazeti, mabango makubwa sana, helikopta, magari na bado hata greengard bado maji yaliwazidi hadi shingoni mpaka ikabidi watumie uchakachuaji wa matokeo.

Cha msingi tupiganie na tuseme sana hata kwa kelele kali juu ya hii katiba mpya pamoja na mambo mengine tume ya uchaguzi itayotenda haki ni muhimu sana. Ccm iondolewe chama kingine kishike hatamu, najua taifa hili litabadirika tu. Hata hivyo vyombo vya habari vitatangaza mambo yatakayowavutia wananchi na siyo ya kitapeli na kinafiki kama hivi sasa.
 
Guys I am afraid you may be wasting your time protecting Slaa! you have inclined to CCM agenda of confusing your plans.

Slaa atatukanwa tu, mpende msipende, ukishasema wewe ni kiongozi wa siasa, jua kuna watu watakupenda na wengine kukutukana, it is asburd kuona kuna watu hawalijui hili.. wakati ukisema JK mtu wa totoz wengine wanasema Slaa mla vya watu!! wakati unasema JK ni fisadi la kutupwa wengine wanasema Slaa aliiba fedha kanisani!!! ...hata kama ni uongo...

The agenda is to remove CCM from power, agenda is to make sure we are not allowing fisadis kuendelea kukomba uchumi wa nchi. Slaa atatukanwa tu, take my words, not that I am not advocating these behaviours rather I am telling you defending Slaa is a wastage of time... is not our main agenda..

They killed Mesiah 2000 years ago and he was special man ever lived in this planet!! give me the name of any leader( whether is good or bad) who never encountered resistance of any kind. Grown up people like us ''may be I am not' we are counting it all joy when we hear some people are talking negative against Slaa...yes I am happy he is in the good process of becoming good leader if he real aspiring to be one!!

Matusi na kejeli vinamjenga zaidi na kumkomaza kuwa kiongozi, kama atachukua nchi.. asije akawa akiwa rais ukimchora katuni tu kama akina kipanya anawaweka jela!!! let him learn, grow ..Dr. Slaa after election is different form Slaa before election, he have grown up.. I can testify that!!!

kuna walevi hauwaoni kwenye TV wanamtukana Slaa!!1 ndiyo si kipenda roho.. we unafikiri kila mtu anaipenda chadema au slaa..mimi mwenyewe siipendi chadema!!! yet I support them in every good move, utofauti wa binadamu uko wapi then

So muanzisha maada acha kulialia KUA na wewe...

kama wewe ni mwana chadema ENEZA INJILI YA UKOMBOZI, HAKIKISHA KILA SIKU UNAWAPATA WAWILI WATATU

Leo hata mimi nikitaka urais nitatafutiwa zengwe tu na watu wataliamini, hivyo NI VIJIMAMBO YA KAWAIDA SANA KWENYE SIASA.. fuatilia hata siasa za nje...

kama uko serious sana...just ignore them!!

Kulia lia hapa hakusaidii kitu... unataka tufanye nini eti??
Mkuu kama kusema umesema! Kusikia kwetu ndio kudogo! Kuelewa kwetu kunachukua muda! Tunashtaki kwa wafadhili ili watuondolee miba njiani kwa maana hatuna viatu! Tunalalamika kwa sababu tunahitaji wengine wajue kwamba tunalalamika! Na mwisho wa siku wakishajua kwamba tunalalamika watuite WALALAMISHI! sijui nani tena atatusikiliza hapo! Napenda kuongezea pale na hapo, Siasa za nchi hii watu wanafuata watu na hawafuati vyama. Kwa ibada hizi za kuwaabudu watu wasisemwe, inamaanisha kwamba watu wanawaangalia watu na si vyama!! ikiwa leo Dr. Slaa atahama Chadema kwenda CCM sijui hali itakuwaje? Nashangaa sana watu hatujifunzi toka enzi za kina Mrema na Marando? Nini kilitokea na nini kilifuatia. Ikiwa kweli tunajali basi na TUJENGE VYAMA SI WATU! Tukiwajenga watu vyama vitaendelea kubaki dhaifu. na kwa mujibu huo CHAMA KITUKANWE MFALME ASIGUSWE!
 
Kweli ccm wako kwenye usingizi mzito. Zama hizi si za kulipa watu aina ya Tambwe kwa kazi isiyo na tija. Hivi hawa vilaza wa tbc wanajua kuwa hawapaswi kujifungamanisha na chama chochote?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom